Unaweza usiamini kama bungeni kuna wabunge Wakristo

Yote hayo kwangu sio tatizo kubwa,kinachosikitisha ni kwamba uwezo wa kuibadili hali hii upo lakini watu hawataki/ hawajali! Kila mtu anaona haimuhusu.Sanduku la kura ndo suluhisho pekee.
 
Umeongea kwa uchungu sana mkuu, na iwe kwako kama ulivyoomba. Mungu hadhihakiwi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…