Unawezaje kuishi Kwa kutegemea kuendesha bodaboda

Unawezaje kuishi Kwa kutegemea kuendesha bodaboda

Bodaboda ni ajira rasmi ila waache kuendesha pikipiki kwa fujo hapo ndio inawashusha thamani bodaboda
 
Maisha ni kama bwawa la samaki

Kuna watu wanafuraha kwa sababu baba zao wanamiliki hilo bwawa {kina mo na elon musk hao}

Kuna watu wanafuraha kwa sababu baba zao wanauza samaki(matajiri wa kati)

Kuna watu wana furaha kwa sababu angalau baba zao wana uwezo wa kuwanunulia samaki wakala (mtoa mada)

Kuna wale bado wana struggle hata kununua hao samaki(hao bodaboda )

Furaha inatokana na wewe kufurahia ulichonacho huku ukipambania kilichojuu zaidi wala haitokani na kuona walio chini yako wana makosa badala yake ukiona uko juu sana unaweza kumsaidia aliye chini yako kama wafanyavyo kina bakhresa kwa kutengeneza hadi icecream na sio kupiga majungu walio chini
 
Mwanaume ameumbiwa kutafuta na kulea familia..
Tumeambiwa wanaume tutakula kwa jasho, sasa wewe unamshangaa mwanaume kuchakaa akiwa kazini🤔

Usikute huyo bodaboda unaemdharau anakusaidia kukutunzia mkeo nawew ukiwa pale umetulia na hujui
 
Back
Top Bottom