Unawezaje kuishi Kwa kutegemea kuendesha bodaboda

Unawezaje kuishi Kwa kutegemea kuendesha bodaboda

Kila kazi ina changamoto zake,ndugu yangu alianza na bodaboda ya mkataba,kwasasa ana bodaboda nne,na mwezi ujao anaongeza ya 5,kashanunua kiwanja,na anazidi kuwekeza sehemu nyingine.Na kaifanya kazi nndani ya miaka mi3.Anasaidia ndugu zetu wengine,ukoangalia ana umri wa miaka 22 kwasasa.
Ujinga wa balehe anaufanya kama kawaida na maisha yanasonga.
Usidharau kazi ya mtu,nina uhakika mwakani atawekeza kwenye viwanja vingi sana,Mungu aendelee kumsaidia.
Huwa namsihi azingatie alama za barabarani tu,mengine amuachie Mungu.
 
Endelea kula ugali wa mama yako ,then tegemea Kuna siku utaamka milionea.kazi ni kazi mradi ni halali kama wewe umejaliwa sana shukuru Mungu ,acha kudharau wengine,kisicho ridhiki kwako kwa mwingine kinafaa.wewe boda huwezi ila Kuna mwingine ndio kazi kwake,hatuwezi kufanana mkuu.
 
Huwa nashangaa sana unakuta mtu anakuambia. Nalisha familia kupitia hii bodaboda aisee ukicheki yeye mwenyewe alivyojichokea sijui hiyo familia yake itakua katika Hali Gani mpaka kumruhusu ndugu Yao kuingia barabarani kucheza na moto ambao hautozimika ukimkumba maana bodaboda ni kitendo Cha dakika 1 unaitwa kilema au maiti, hii kazi siwezi kuifanya
Wengi kwa dar es salaam TZ wanashika pesa za maana Sanaa hukosi 30 tangu asubuh Ila pikipiki iwe yako ndio utafaidi..
 
Mimi ni kojo la baba yangu lazima Mali zake nirithi wewe huna Cha kurithi kwahiyo unajifanya kidume eti unajipambania kumbe wazazi wako walikua wajinga na ni makapuku huna ukidume mkuu kama unahangaika kutafuta hela we ni mrembo tu🤣
Wewe ni wale wanaoua wazazi wao ipi arithi mali... mtoto wa laana wewe..
 
Huwa nashangaa sana unakuta mtu anakuambia. Nalisha familia kupitia hii bodaboda aisee ukicheki yeye mwenyewe alivyojichokea sijui hiyo familia yake itakua katika Hali Gani mpaka kumruhusu ndugu Yao kuingia barabarani kucheza na moto ambao hautozimika ukimkumba maana bodaboda ni kitendo Cha dakika 1 unaitwa kilema au maiti, hii kazi siwezi kuifanya
....Lema alisema, Watu wakadanganywa ili Wasimuelewe...!
 
Unadharau kazi za watu, ulianza kuponda biashara ya Bajaji, leo umehamia kwa boda boda, Ukishiba makande unaharibu hali ya hewa tu.
 
Back
Top Bottom