Kwani wakulima l wanakuwa shamba muda wote kila siku? Wengine wanalima, mazao yako shambani na wakati uo huo wanakomaa na mishe zingine mjini, na sio kubeti kama wewe. Bodaboda ni kazi halali, jifunze kuheshimu kazi za watu hata kama huwezi kuifanya.Wale hawakujua kama watapolomokewa na majengo hayo ila bodaboda unajua kabisa pikipiki ikianguka body mwili wangu halafu unaendelea kukomaa kisa uvivu wa kulima