Unawezaje kuishi Kwa kutegemea kuendesha bodaboda

Unawezaje kuishi Kwa kutegemea kuendesha bodaboda

Maisha ni Fumbo kila mtu anayo njia yake, mshukuru Mungu kwa njia yako na usikashfu njia ya mwingine.
 
Boda unaowaona wengine wana masters,wengine ni watumishi wa serikali watanzania tupunguze dharau leo nacho kesho Huna sema boda wengi wajirekebishe wafate sheria za barabarani
 
Ukishabikia mpira tu, tayari unakua na uelewa mdogo.

Mpira ni emotional game, imagine watu 22 wanafukuza mpira, ule mpira ukiingia kwenye nyavu wewe unaeangalia roho inakuuma, (are you stupid).

Mimi nikikuona mwanaume mtu mzima unashabikia mpira naona ni kama utosi wako bado unadunda.
Nina wasiwasi na jinsia yako mkuu
 
Huwa nashangaa sana unakuta mtu anakuambia. Nalisha familia kupitia hii bodaboda aisee ukicheki yeye mwenyewe alivyojichokea sijui hiyo familia yake itakua katika Hali Gani mpaka kumruhusu ndugu Yao kuingia barabarani kucheza na moto ambao hautozimika ukimkumba maana bodaboda ni kitendo Cha dakika 1 unaitwa kilema au maiti, hii kazi siwezi kuifanya
sheria kuu ya maisha Hasa kama ni Mwanaume..
USIDHARAU KAZI YA MWANAUME MWENZAKO
 
Mimi ni kojo la baba yangu lazima Mali zake nirithi wewe huna Cha kurithi kwahiyo unajifanya kidume eti unajipambania kumbe wazazi wako walikua wajinga na ni makapuku huna ukidume mkuu kama unahangaika kutafuta hela we ni mrembo tu🤣
Maskini ndo hujieleza sana, kiazi ww(ww ni maskini). Unajikuta mwamba upo nyuma ya keyboard unajipa matumani kuwa we wa kishua. 🚮🚮🚮
 
Jiepushe na uvivu....... Ujenge Taifa

Mwa-naa..ngu amka kumekucha....

Hizi ndizo saa-a za kwenda shule,

Mkulima kumekucha......

Amka uende shamba,

Jiepushe na uvivu Tujenge Taifa,

Jiepushe na uvivu Tujenge Taifa

Mwanangu amka kumekucha

Hii ndizo saa-a za kwenda shule.....

secretarybird
Duh umenikumbusha zamani. Kila siku asubahi kabla sijaenda shule nilikuwa lazima niusikilize huo wimbo pamoja na ule wa msondo Ngoma unaoitwa 'kaza moyo'.

Ni ngori
 
Kaa kimya wewe mtoto wa Masaki. Hujui shida wewe. Hujui dhiki wakishua wewe..
hana umasaki wowote anaishi kwenye nyumba ya Bure, kodi yote anaweka bando kuja kuwaponda wapambanaji

✅✅✔️
 
Maskini ndo hujieleza sana, kiazi ww(ww ni maskini). Unajikuta mwamba upo nyuma ya keyboard unajipa matumani kuwa we wa kishua. 🚮🚮🚮
anaishi nyumba ya bure ndio maana anapata nguvu za kudharau hela za wanaume

👇👇👇
 
Duh umenikumbusha zamani. Kila siku asubahi kabla sijaenda shule nilikuwa lazima niusikilize huo wimbo pamoja na ule wa msondo Ngoma unaoitwa 'kaza moyo'.

Ni ngori
Aseeh maroon commandos walinifanya nikiusikia napatwa na hasira mara furaha Ila childhood yetu ilikuwa unyama...,. sio sasa watangazaji wanaropoka mpaka sijui redio mimi
 
Aseeh maroon commandos walinifanya nikiusikia napatwa na hasira mara furaha Ila childhood yetu ilikuwa unyama...,. sio sasa watangazaji wanaropoka mpaka sijui redio mimi
Kabisa mkuu kizazi hiki cha nyoka kinashabikia amapiano, yaani wanarudia rudia maneno Yale yale kwenye Ngoma nzima.
 
Kazi kazi
 
Attachments

  • Screenshot_20241220-201907.jpg
    Screenshot_20241220-201907.jpg
    223.2 KB · Views: 1
Back
Top Bottom