Unawezaje kuishi Kwa kutegemea kuendesha bodaboda

Unawezaje kuishi Kwa kutegemea kuendesha bodaboda

Screenshot_20241220-102441~2.jpg
 
Huwa nashangaa sana unakuta mtu anakuambia. Nalisha familia kupitia hii bodaboda aisee ukicheki yeye mwenyewe alivyojichokea sijui hiyo familia yake itakua katika Hali Gani mpaka kumruhusu ndugu Yao kuingia barabarani kucheza na moto ambao hautozimika ukimkumba maana bodaboda ni kitendo Cha dakika 1 unaitwa kilema au maiti, hii kazi siwezi kuifanya
Sio rahisi kumkuta mshabiki wa arsenal na Simba kua na akili wengi uelewa wao ni mdogo sanaa......
 
Vijana wapumbavu hawatakuelewa.
Nilitaka kuleta Uzi leo kuhusu jambo hili , thanks umeniwahi.
Bodaboda leo asubuhi kaburuzwa na daladala mataa ya Vingunguti.
Niliidharau sana kazi ya bodaboda. Ni heri mtu auze mishikaki ya mia mia
All drivers are prone to traffic/road accident. Hiyo ni ajali tu kama ajali zingine za barabarani mkuu..
 
Back
Top Bottom