Unawezaje kuishi Kwa kutegemea kuendesha bodaboda

KAZI yoyote unayoifanya ikiwemo ya Bodaboda kama huna nidhamu hutoboi.Wapo Bodaboda Wana maendeleo na wanamiliki Bodaboda zao na wanazidi kununua zingine kwasababu ya nidhamu ya fedha waliyonayo.Ila wengi ambao hawana maendeleo mara nyingi huwa ni walevi na malaya.
Vivyo hivyo kwa sisi wengine ambao tumeajiriwa na kujiajiri bado wapo wengine ni masikini wa kutupwa kwasababu ya kukosa nidhamu.
"Tuheshimu hustle za watu"
 
Hiyo sio kazi wewe
 
Huwa nashangaa sana unakuta mtu anakuambia. Nalisha familia kupitia hii bodaboda aisee ukicheki yeye mwenyewe alivyojichokea sijui hiyo familia yake itakua katika Hali Gani mpaka kumruhusu ndugu Yao kuingia barabarani kucheza na moto ambao hautozimika ukimkumba maana bodaboda ni kitendo Cha dakika 1 unaitwa kilema au maiti, hii kazi siwezi kuifanya

Watu wanasomesha watu chuo kikuu na kujenga boda boda, hujui njaa wewe, ila Kuna wakati itakufunza, hata punda utaendesha
 
Vijana wapumbavu hawatakuelewa.
Nilitaka kuleta Uzi leo kuhusu jambo hili , thanks umeniwahi.
Bodaboda leo asubuhi kaburuzwa na daladala mataa ya Vingunguti.
Niliidharau sana kazi ya bodaboda. Ni heri mtu auze mishikaki ya mia mia
Kila sehemu mkuu kuna risk ya kupoteza maisha kwahiyo wote tupike chips.
 
Huwa nashangaa sana unakuta mtu anakuambia. Nalisha familia kupitia hii bodaboda aisee ukicheki yeye mwenyewe alivyojichokea sijui hiyo familia yake itakua katika Hali Gani mpaka kumruhusu ndugu Yao kuingia barabarani kucheza na moto ambao hautozimika ukimkumba maana bodaboda ni kitendo Cha dakika 1 unaitwa kilema au maiti, hii kazi siwezi kuifanya
Wenye akili kubwa tu na wanaozitumia VIZURI AKILI ZAO ndio wanaweza kuishi kwa kutegemea kazi hiyo.
Kwenye kundi hilo wewe HAUMO!
NA UACHE KUDHARAU KAZI ZA WATU.

KWANI MARUBANI WA NDEGE HUWA HAWAPATWI NA AJALI?
 
Back
Top Bottom