Mzee Kijana
JF-Expert Member
- Nov 25, 2011
- 1,442
- 1,140
Weka takwimu hapa tuone halafu tujadili.Ajali za gari na za bodaboda wingi wake ni sawa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka takwimu hapa tuone halafu tujadili.Ajali za gari na za bodaboda wingi wake ni sawa?
Hivi wale walioporomokewa na jengo pale kariakoo walikuwa ni bodaboda?Bora betting ila sio kuwa bodaboda kuhangaikia buku ambayo itakuletea ukilema dakika 1 yaani ukatwe miguu kisa buku akili Gani hii
Endelea kubisha!!Hamna kitu hapo endelea kujifariji
Huu sio Uzi wa takwimu fungua Uzi wa takwimu za ajali ya bodaboda na gari ndio tuchangieWeka takwimu hapa tuone halafu tujadili.
Net au makusanyo, hata hivyo iko juu sana.Bodaboda kwa siku analaza average 40,000 ambayo akikomaa kwa mwezi mzima ni 1.2m take home.
Wale hawakujua kama watapolomokewa na majengo hayo ila bodaboda unajua kabisa pikipiki ikianguka body mwili wangu halafu unaendelea kukomaa kisa uvivu wa kulimaHivi wale walioporomokewa na jengo pale kariakoo walikuwa ni bodaboda?
Unaweza usiwe bodaboda ila ipo siku utakatwa miguu na utarudi mavumbini.
Acha kubeza kazi za wengine.
Wewe lete takwimu kuhalalisha hoja yako badala ya kubwabwaja. Kama ajali hata mabasi na magari mengine yanaua, je tuache kusafiri?Huu sio Uzi wa takwimu fungua Uzi wa takwimu za ajali ya bodaboda na gari ndio tuchangie
Wewe yamekukuta?Tulia yakukute ndio utajua wana savaiv vip
Hasira za nini unanjaa nini?Wewe lete takwimu kuhalalisha hoja yako badala ya kubwabwaja. Kama ajali hata mabasi na magari mengine yanaua, je tuache kusafiri?
Njaa unayo wewe jomba. Mimi nimeomba takwimu sasa wewe povu la nini? Lete takwimu tubishane kwa ushahidi na si hisia.Hasira za nini unanjaa nini?
Samahani mkuu wewe ni she au He? Ila huyu anaetukana bado boda kwamba sio kazi ni mjinga labda kushabikia Timu ya Arsanal pia kumechangia ujinga wake.Ukishabikia mpira tu, tayari unakua na uelewa mdogo.
Mpira ni emotional game, imagine watu 22 wanafukuza mpira, ule mpira ukiingia kwenye nyavu wewe unaeangalia roho inakuuma, (are you stupid).
Mimi nikikuona mwanaume mtu mzima unashabikia mpira naona ni kama utosi wako bado unadunda.
Siku zote mwenye shibe humdharau mwenye njaaHuwa nashangaa sana unakuta mtu anakuambia. Nalisha familia kupitia hii bodaboda aisee ukicheki yeye mwenyewe alivyojichokea sijui hiyo familia yake itakua katika Hali Gani mpaka kumruhusu ndugu Yao kuingia barabarani kucheza na moto ambao hautozimika ukimkumba maana bodaboda ni kitendo Cha dakika 1 unaitwa kilema au maiti, hii kazi siwezi kuifanya
Angalia unavyofoka inaonesha hujala nenda kale kwanzaNjaa unayo wewe jomba. Mimi nimeomba takwimu sasa wewe povu la nini? Lete takwimu tubishane kwa ushahidi na si hisia.
Kazingua huyo wasimngekuwa wanatembeza mikate asubuhiNet au makusanyo, hata hivyo iko juu sana.
Ndio wezi namba 1 hao bodaboda ni vishanduSiku zote mwenye shibe humdharau mwenye njaa
Kikubwa haibi
Una mawazo ya kigagagigikoko kabisa....Wale hawakujua kama watapolomokewa na majengo hayo ila bodaboda unajua kabisa pikipiki ikianguka body mwili wangu halafu unaendelea kukomaa kisa uvivu wa kulima
SIri ya hiyo biashara huwezi kuijua, kuna hela sana tena zaidi ya 40,000 kwa siku.Net au makusanyo, hata hivyo iko juu sana.
Wewe huna akili kwahiyo siwezi kupoteza muda wangu kukujibu tena.Angalia unavyofoka inaonesha hujala nenda kale kwanza