Unawezaje kuishi Kwa kutegemea kuendesha bodaboda

Yaah! Watu wanaishi, Watu wanalea familia zao, Watu wanasomesha, Watu wamejenga kupitia hiyo kazi!

Nadhani target yako ni kujua mchanganuo kwamba wanawezaje kufanya hivyo - wanagawaje kipato!

Au?
 
Huwa nashangaa sana unakuta mtu anakuambia. Nalisha familia kupitia hii bodaboda aisee ukicheki yeye mwenyewe alivyojichokea sijui hiyo familia yake itakua katika Hali Gani mpaka kumruhusu ndugu Yao kuingia barabarani kucheza na moto ambao hautozimika ukimkumba maana bodaboda ni kitendo Cha dakika 1 unaitwa kilema au maiti, hii kazi siwezi kuifanya
Kwaiyo waolewe na mzungu km ww,au waibe mkuu?
 
Huwa nashangaa sana unakuta mtu anakuambia. Nalisha familia kupitia hii bodaboda aisee ukicheki yeye mwenyewe alivyojichokea sijui hiyo familia yake itakua katika Hali Gani mpaka kumruhusu ndugu Yao kuingia barabarani kucheza na moto ambao hautozimika ukimkumba maana bodaboda ni kitendo Cha dakika 1 unaitwa kilema au maiti, hii kazi siwezi kuifanya
We jamaa Huna akili na ni Mjinga sana.
 
Back
Top Bottom