AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Wakuu,
Kuna mtu tunaishi ila ana tabia za wizi wizi.
Yaani kiufupi huyu mtu yeye bila kuiba asubuhi, mchana au usiku hajisikii kabisa furaha.
Yeye kitu pekee kinachompa furaha ni kuiba na kuona kuna mtu anatafuta kitu alichoibiwa ndio anakua na furaha na yeye yupo hapo hapo.
Sasa mtu km huyu unakabiriana nae vipi jinsi ya kuishi nae?
Na inafahamika kabisa anaeiba ni yeye kila wakati yeye anaiba tu.
Tunamfanyaje mtu km huyu? Sio mtoto ni mtu mzima anakimbilia uzee kabisa ila ni mwizi.