AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Hahaha acha hizo basiAlafu mambo mengine muwe mnaomba ushauri kwa wake zenu.......na sio JF
Sio kwamba amepewa chance ya kuiba yeye akikuta tu kitu kimekaa vibaya kapita nacho huyu tunamfanyaje mtu km huyu?Mpaka akuibie kila siku inamaana wewe umeamua kumpa iyo nafasi.
Kikubwa ni kumuwekea mipaka, na ajue sababu kuu ni wizi wake.
Mimi mtu hata akiwa muongo ndio basi tenaa