Unawezaje kuishi na mwanamke anayejamba jamba ovyo?

Nipo tayari kumchukua huyo mwanamke anayejambajamba kila wakati.
Napenda sana harufu ya mavi hasa ya mwanamke.
Ikikupendeza tafadhali naomba namba yake PM nikusaidie jambo.
 
Kuna kipindi nilikua ninajamba aisee

Nilikua na tatzo la tumbo,, minyoo,ulcers,vyakula vya gesi,vinaweza kua vinamsumbua
 
Dawa yake ni nini.
Namie nasumbuliwa sana na kujamba/gesi.

Nikienda pharmacy niseme nataka dawa gani. Ama home remedies naweza tumia.

Mchemshie majani yanaitwa kashwagara anywe kama chai tuu ni tiba nzuri sana kwa hilo tatizo! Muulize muhaya aliye karibu yako atakuelekeza vizuri
Yanasaidia nini mkuu,kutoa gesi ama ?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…