Unawezaje kuishi na mwanamke anayejamba jamba ovyo?

Umetoka kazini umechoka umekaa zako sebuleni anajipitisha na khanga yake inanuka ushuzi unaamua kupiga kimya.

Nipo kitandani naperuzi Jamiiforums yeye amelala amejamba kama mara 4 hivi.

Shida sio kujamba shida anatoa hewa chafu, inakera sana ukiliambia linacheka cheka tu.

Pumbavu, tabia chafu sana hii
Kwahiyo ulivyomuona mwenyewe na ma makeup yake,nywele za bandia, miperfume ya gharama plus mipoz ukajua hajambi,ukiona hivyo kashakuzoea,kaona kisa cha kijifia wacha umjue tu na yeye ni binadamu kama wengine...
 
Umetoka kazini umechoka umekaa zako sebuleni anajipitisha na khanga yake inanuka ushuzi unaamua kupiga kimya.

Nipo kitandani naperuzi Jamiiforums yeye amelala amejamba kama mara 4 hivi.

Shida sio kujamba shida anatoa hewa chafu, inakera sana ukiliambia linacheka cheka tu.

Pumbavu, tabia chafu sana hii
Mkague mtaro wake usikute wauni washatoa malinda kwaiyo ndo maana anashindwa kuubana unamtoka2
 
Mkuu unamlisha nini kwanza? usije kuwa unamlisha magimbi mtoto wa watu huku anatumbo bovu ndo mana nyuklia kama zote [emoji2]
 
Omoplazo kuna eno una dilute na maji baridi na zingine kibao ila kapime kwanya
Dawa yake ni nini.
Namie nasumbuliwa sana na kujamba/gesi.

Nikienda pharmacy niseme nataka dawa gani. Ama home remedies naweza tumia.
 
Umetoka kazini umechoka umekaa zako sebuleni anajipitisha na khanga yake inanuka ushuzi unaamua kupiga kimya.

Nipo kitandani naperuzi Jamiiforums yeye amelala amejamba kama mara 4 hivi.

Shida sio kujamba shida anatoa hewa chafu, inakera sana ukiliambia linacheka cheka tu.

Pumbavu, tabia chafu sana hii
Mwache shemeji ajiachie bhana,si unampatia lishe anashiba?

Halafu hizo ni dalili za kunenepa ujue!

Hakuogopi wala kukuonea haya ashakuzoea.

Hata wewe mida ya alfajiri unajamba jamba ovyo sana tu, sema hakwambii au anakuwa bado kalala.

Kwani ushamuona anajamba mbele za wageni au mbele za watoto?

Anakujambia wewe uliyemzeesha.

Endelea kumpenda hivyo hivyo na mapungufu yake😊😊😆😆😆.
 
Umetoka kazini umechoka umekaa zako sebuleni anajipitisha na khanga yake inanuka ushuzi unaamua kupiga kimya.

Nipo kitandani naperuzi Jamiiforums yeye amelala amejamba kama mara 4 hivi.

Shida sio kujamba shida anatoa hewa chafu, inakera sana ukiliambia linacheka cheka tu.

Pumbavu, tabia chafu sana hii
Mchemshie majani yanaitwa kashwagara anywe kama chai tuu ni tiba nzuri sana kwa hilo tatizo! Muulize muhaya aliye karibu yako atakuelekeza vizuri
 
Back
Top Bottom