Unawezaje kuishi na mwanamke anayejamba jamba ovyo?

Unawezaje kuishi na mwanamke anayejamba jamba ovyo?

Pole Sana , mkuu Kama umeshafanikiwa maisha uwe na chumba chako cha mapunziko huku kwingine muwe mnakutana siku moja moja.
 
Kujamba ni kitendo ambacho hufanywa kwa faragha. Hakuna ustaarabu wowote kwa mtu kujamba ukiwa na mtu mwingine, huo ni upumbavu. Mueleweshe awe mstaarabu juu ya hilo suala na kama akisikia kujamba ajambe akiwa faragha. Kama asipoelewa ni bora muachane, mapenzi ni furaha siyo karaha.
 
sema kujamba kunaongeza hamasa ya kuzagamuana
cc fundi bishoo
 
Huoni aibu kusema siri za ndani mwako??
Acha kumlisha mtoto wa watu vyakula vya jamii ya mikunde mxiewww!!
Wizo acha tuuu.

Ukila kunde unajikuta unabofoa vijambo vyenye uzito na ujazo uliotukuka.

Ukibofoa shuzi chumba kizima kinajaa na kuJAM.
 
Umetoka kazini umechoka umekaa zako sebuleni anajipitisha na khanga yake inanuka ushuzi unaamua kupiga kimya.

Nipo kitandani naperuzi Jamiiforums yeye amelala amejamba kama mara 4 hivi.

Shida sio kujamba shida anatoa hewa chafu, inakera sana ukiliambia linacheka cheka tu.

Pumbavu, tabia chafu sana hii
Mnunulie chakula kizuri jamani si kila siku maharage na mahindi
 
Back
Top Bottom