Unawezaje kuishi na mwanamke anayejamba jamba ovyo?

Umetoka kazini umechoka umekaa zako sebuleni anajipitisha na khanga yake inanuka ushuzi unaamua kupiga kimya.

Nipo kitandani naperuzi Jamiiforums yeye amelala amejamba kama mara 4 hivi.

Shida sio kujamba shida anatoa hewa chafu, inakera sana ukiliambia linacheka cheka tu.

Pumbavu, tabia chafu sana hii
[emoji1787][emoji1787][emoji1787], ndoa ndoano vumilia tuu!!

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Umetoka kazini umechoka umekaa zako sebuleni anajipitisha na khanga yake inanuka ushuzi unaamua kupiga kimya.

Nipo kitandani naperuzi Jamiiforums yeye amelala amejamba kama mara 4 hivi.

Shida sio kujamba shida anatoa hewa chafu, inakera sana ukiliambia linacheka cheka tu.

Pumbavu, tabia chafu sana hii
Dah [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Umetoka kazini umechoka umekaa zako sebuleni anajipitisha na khanga yake inanuka ushuzi unaamua kupiga kimya.

Nipo kitandani naperuzi Jamiiforums yeye amelala amejamba kama mara 4 hivi.

Shida sio kujamba shida anatoa hewa chafu, inakera sana ukiliambia linacheka cheka tu.

Pumbavu, tabia chafu sana hii
Mavijana ya siku hizi ni mavi mavi! Kwani kulikuwa na sababu ya sisi kujua?
 
🤣🤣🤣😂😂! Una ujinga wako fulani dahh! Hahahaha

Tusiharibu mada ya watu toa mbunu mwenzenu amsaidie huyo dada smart
Msaada noaweza kumpa amlete kwangu kidogo...

Nimuweke chini ya uchunhuzi kidogo..
Ofcoz kwa ruksa Yako sweetheart...

Napenda mwanamke akiwa na ujinga ujinga kama wewe sweetheart siyo serious...
 
Back
Top Bottom