Unawezaje kuishi na mwanamke anayejamba jamba ovyo?

Huna akili 😂
 
Na wengi ndiyo hao wanakula bila kipimo na hawachagui nini ale na wakati gani, mwisho wa siku wameyumbisha ndoa zao na kuishia kujuta
 
Ni malezi mkuu ndio yanasababisha
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umri wako ni mdogo sana kuyaelewa haya mambo. Ndo maana unajianika hadharani kuwa hujui haya mambo yapoje.

Kikubwa, mkeo anakupenda sana sana na anatamani ujue jambo flani hivi nyeti na wewe ujanitia ujuha
 

Dah liambie liache hiyo tabia kaka
 
ni malezi maana wengine kujamba ni aibu kubwa,atajizuia sana au ataenda kujambia chooni,na iwapo utamtoka ghafla,ataomba radhi sana,mimi nakumbuka nilipata mdada ana umri wa miaka 33 hii ni miaka 30 iliyopita,tulianza mapenzi kwa kupendana na kuheshimiana sana,siku moja ushuzi ulimtoka ghafla aliniomba sana radhi,nikamwambia usijali,ni ubinadamu huwezi kujizuia
 
Uwe unamuachia hela ya nyama. Siyo kila siku unamlisha mtoto wa watu ugali na maharage tu, halafu unakuja kutulalamikia humu jukwaani.
 
Minyoo akapime... Au pia angalia upande wa pili isije kua bearing na gaskets zimeisha tayari sabu ya......
 
Jamani mtoto wa kike yuko na mmewe hata kujamba aombe kibali hebu wanaume tuwe wavumilivu mwanamke kua uhuru flan akiupata hua anajisikia sifa kua na ww.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…