Kabla sijajibu swali lako mkuu niseme tu, mimi siwezi kuishi na mwanamke wa ainahiyo mazeeeHivi mwanaume wajisikiaje pale unapoongea nami naongea,ukijibu nami najibu,ukiuliza na nauliza,ukikaripia nami nakaripa,ukinipiga nami narudishia,ukitukana nami zito hilo
I mean mwajisikiaje kuishi na mwanamke asiyeweza kushuka au kutii hata chembe?
Hivi mwanaume wajisikiaje pale unapoongea nami naongea,ukijibu nami najibu,ukiuliza na nauliza,ukikaripia nami nakaripa,ukinipiga nami narudishia,ukitukana nami zito hilo
I mean mwajisikiaje kuishi na mwanamke asiyeweza kushuka au kutii hata chembe?
Binafsi kwangu hakuna shida , kwa sababu nikioa nitakua nimeoa mtu ambae anakua huru kutoa hisia zake na sio kuishi na mimi kinafki/ mtumwa.
Kwanini uruhusu mwanaume akukaripie, akutukane, akupige? kwanini msizungumze kama watu wazima na pia kuna dhambi gani mkipingana kwa hoja na mkaanza kujibizana kistaarabu bila matusi wala vipigo,Hivi mwanaume wajisikiaje pale unapoongea nami naongea,ukijibu nami najibu,ukiuliza na nauliza,ukikaripia nami nakaripa,ukinipiga nami narudishia,ukitukana nami zito hilo
I mean mwajisikiaje kuishi na mwanamke asiyeweza kushuka au kutii hata chembe?
Hakika,bora kumkimbiaKama ni Mimi nitanyamaza nikijipanda kukuacha, kwa wanaoamini katika kupiga utageuka kuwa Ngoma, nature na utu wa Mwanaume unakataa hiyo tabia, ila kama una fala unamlisha, atavumilia akiwa na mwingine mahali.
Big Thank you, kwa hakika unajitambua sana, i send you my πππBinafsi kwangu hakuna shida , kwa sababu nikioa nitakua nimeoa mtu ambae anakua huru kutoa hisia zake na sio kuishi na mimi kinafki/ mtumwa.
Siyo kupiga tu,watu wanauana kabisaKwanini uruhusu mwanaume akukaripie, akutukane, akupige? kwanini msizungumze kama watu wazima na pia kuna dhambi gani mkipingana kwa hoja na mkaanza kujibizana kistaarabu bila matusi wala vipigo,
Kwanini unajiona wewe mwanamke unastahili kufanyiwa hayo na mwanaume wako ila ni ukosefu wa adabu ukimfanyia yeye? Unawezaje kumtii mtu anayekupiga na kukutukana?
Kabla ya mauaji yalianza matusi, vipigo hatimae mauti, wafundisheni mabinti zenu wawe na uhuru wa kujieleza na kutimua mbio wakiona red flags, utumwa ulishakomeshwa enzi hizooooooSiyo kupiga tu,watu wanauana kabisa