Unawezaje kuishi na mwanamke asiye na utii

Unawezaje kuishi na mwanamke asiye na utii

Binafsi kwangu hakuna shida , kwa sababu nikioa nitakua nimeoa mtu ambae anakua huru kutoa hisia zake na sio kuishi na mimi kinafki/ mtumwa.
Kwa mtu unayemkula mkuu.!

Sijui hili, ila maumbile yanatufundisha kitu kibaya sana

Yaani kwanini tunahisi tunawanyuka wakati wanatunyukwa hii mbaya zaidi ya Tai Chi
 
Kwa mtu unayemkula mkuu.!

Sijui hili, ila maumbile yanatufundisha kitu kibaya sana

Yaani kwanini tunahisi tunawanyuka wakati wanatunyukwa hii mbaya zaidi ya Tai Chi
Kivipi mkuu
 
Kwanini uruhusu mwanaume akukaripie, akutukane, akupige? kwanini msizungumze kama watu wazima na pia kuna dhambi gani mkipingana kwa hoja na mkaanza kujibizana kistaarabu bila matusi wala vipigo,
Kwanini unajiona wewe mwanamke unastahili kufanyiwa hayo na mwanaume wako ila ni ukosefu wa adabu ukimfanyia yeye? Unawezaje kumtii mtu anayekupiga na kukutukana?
Low self esteem
 
binafsi kiboko kwa mke ni mkojolo, awe romantic asiwe romantic ni bakora tu,

Akininyima naenda kumsema kwao sipewi unyumba, shida ni pale ukiowa gari usiloweza kuendesha.

Umsugue vizuri atakukolomea kweli 😆😂
 
binafsi kiboko kwa mke ni mkojolo, awe romantic asiwe romantic ni bakora tu,

Akininyima naenda kumsema kwao sipewi unyumba, shida ni pale ukiowa gari usiloweza kuendesha.

Umsugue vizuri atakukolomea kweli 😆😂
Kuna mutah shekhe wapi unakwama.!?
 
Hivi mwanaume wajisikiaje pale unapoongea nami naongea,ukijibu nami najibu,ukiuliza na nauliza,ukikaripia nami nakaripa,ukinipiga nami narudishia,ukitukana nami zito hilo

I mean mwajisikiaje kuishi na mwanamke asiyeweza kushuka au kutii hata chembe?
Unajisikia vibaya sana, unaona kuwa huheshimiwi. Kuhusu utaishije nae, itategemea na hali yenu kama mna watoto au la. Wanaume tunajali kuhusu watoto, kwa hiyo unaweza kumuacha aendelee kuishi kwa ajili ya watoto, ila hatua sahihi ya kuchukua ni kumtema. Akaoneshe hakinsawa mahali kwingine, ikiwezekana awe mbunge kabisa lakini sio nyumbani kwako.
 
Ishu ya kuishi na mwanamke mjeuri ni bahati mbaya tu lakini ukishajua mtu ni mjeuri unajipanga vizuri kiuchumi then unamuacha aishi kwa nguvu yake ya kiuchumi huna haja ya kugombana na mwanamke kwa mimi nawaza hivo mana mwanaume ukiwa mtata na mwanamke mtata kuna siku mtauana sasa yanini yote hayo si bora umuache.
 
Back
Top Bottom