aise
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 8,724
- 24,474
I don't want peace 🤣🤣I want problems always 🤣🤣
I don't want peace 🤣🤣I want problems always 🤣🤣
Aliyeuliza nadhani ana haki ya kupewa jibu 🤣🤣 kazi ipoSamahani , naomba nitumie haki yangu ya kutokujibu zaidi ya hapa bwashee.
Tumejuana wiki kadhaa nyuma. Kuna ubaya kufunga ndoa ndani ya mwezi mmoja?Ukikuta mwanaume ana mwanamke wa hivyo na amefunga nae ndoa.... basi ujue huyo mwanaume hakujipa wakati wa kutosha kumfaham aina ya mwanamke anae taka kumuoa. Na hili ni kosa kubwa sana wanaume hulifanya
Hii scenario ya mwanamke kupigwa kutukanwa umeiweka kumfanya aonekane ni victim na kuhalalisha yeye kutokutii.Kwanini uruhusu mwanaume akukaripie, akutukane, akupige? kwanini msizungumze kama watu wazima na pia kuna dhambi gani mkipingana kwa hoja na mkaanza kujibizana kistaarabu bila matusi wala vipigo,
Kwanini unajiona wewe mwanamke unastahili kufanyiwa hayo na mwanaume wako ila ni ukosefu wa adabu ukimfanyia yeye? Unawezaje kumtii mtu anayekupiga na kukutukana?
Mimi pia nimetumia haki yangu ya kutojibuAliyeuliza nadhani ana haki ya kupewa jibu 🤣🤣 kazi ipo
Uko sahihi, kilw nafasi/cheo kinakuja na wajibu, mume anawajibu wa kutoa upendo, ulinzi na penetration, mke anawajibu wa kutoa utii(submission). Hapo amani tu.Kiuhalisia mwanaume ndie anamzaa mke wake kitabia kwa jinsi anavyomtreat na kumpenda,so unachopanda ndicho unavuna.wanaume unatoka upendo
Mkuu hivi viumbe ni kero sanaKwamba ipo siku mtauana 🤣🤣🤣
Soma vizuri uelewe kwa utulivu,sijasema wanawake ni wakamilifu ila mwanaume anauwezo mkubwa sana wa kumbadili mwanamke kitabia kama umepevuka kiakili bila kutumia hisia zaidi.Hii notion huwa ni ya kipumbavu mno halafu naona kama inataka kukomaa.
Yaani hapa unajaribu kutwambia kwamba wanawake ni wakamilifu wa tabia na hawawezi kuonesha tabia za kipuuzi kwa utashi wao wenyewe bila kuchagizwa na mwanaume sio?
Yaan unataka kutuaminisha wanawake wote wamelelewa vema majumbani mwao na tabia mbovu huwa wanajifunzia kwa waume zao si ndio maanake?
Akili huna kabisa wewe.
🤣🤣🤣Umetusahau sisi Kalumbu
Nipm namba yako nikupe ya soda mkuuHivi mwanaume wajisikiaje pale unapoongea nami naongea,ukijibu nami najibu,ukiuliza na nauliza,ukikaripia nami nakaripa,ukinipiga nami narudishia,ukitukana nami zito hilo
I mean mwajisikiaje kuishi na mwanamke asiyeweza kushuka au kutii hata chembe?