Unawezaje kuishi na mwanamke asiye na utii

Unawezaje kuishi na mwanamke asiye na utii

Screenshot_20250907_124356_X.png
 
Unajisikia vibaya sana, unaona kuwa huheshimiwi. Kuhusu utaishije nae, itategemea na hali yenu kama mna watoto au la. Wanaume tunajali kuhusu watoto, kwa hiyo unaweza kumuacha aendelee kuishi kwa ajili ya watoto, ila hatua sahihi ya kuchukua ni kumtema. Akaoneshe hakinsawa mahali kwingine, ikiwezekana awe mbunge kabisa lakini sio nyumbani kwako.
Inahuzunisha sana mkuu
 
Mimi Mwanamke ambaye siwezi ishi naye ni yule tuu Asiyewaza maendeleo hao nimeshindwana nao wawili,
Yaani yupo yupo tuu hanipi challenge zozote za kiuchumi...

Huyo unayemsema wewe Mimi naishi naye fresh, Why? Nilikuja kugundua kua mimi nina mdhaifu mengi ya kukera yanayopelekea mtu kushindwa ku handler..

Kuchapiwa ndio kabisaaa, hilo sitishiki nalo,
Najua nachapiwa na wacha waichape,

Wakati naanza kua naye huyu demu alikua ananiganda sana, anapenda sex to the maximum... na mimi sio mtu wa Sex sana...tukawa tofauti sanaa..

Mimi mda mwingi nipo bussy usiku sana ndio nalala, ukiona nimetulia basi kuna tofari zangu za maendeleo nazipanga kichwani....
Alinisisitiza sana nimtimizie, Sio kwamba nilikua simpi mda kbsa, ila nilimpa kwa kiasi ambacho mimi naona kilitosha, Shoo siwezi daily,

Sasahivi katulia, hanigandi tena..
Ninachoamini analiwa, haiwezekani atulie tuu, kikubwa tunaenda sawa kimipango, hakuna makelele ndani.
Asanteee,ila una moyo aisee
 
Back
Top Bottom