Unawezaje kuishi na mwanamke asiye na utii

Unawezaje kuishi na mwanamke asiye na utii

Huu uzi wasipite wanawake wa kipalestina, meru, chuga yote, mbulu, kondoa na singida kwa mbaaali...
 
Binafsi kwangu hakuna shida , kwa sababu nikioa nitakua nimeoa mtu ambae anakua huru kutoa hisia zake na sio kuishi na mimi kinafki/ mtumwa.
Aisee, ukipanda anapanda, ukishuka anashuka na wewe....
Ukizingua, anazingua...daaah kwangu huo ni uhuru uliopitiliza. Lazima kuwe na kiongozi ndani ya nyumba.
 
Aisee, ukipanda anapanda, ukishuka anashuka na wewe....
Ukizingua, anazingua...daaah kwangu huo ni uhuru uliopitiliza. Lazima kuwe na kiongozi ndani ya nyumba.
Ok
 
Hapo unakuwa unaishi na kidume mwenzio sio mke
Umenikumbusha tukio moja la hivi majuzi hapa
Aisee nikikumbuka namuangalia sana huyu mwanamke
Anabaki tu anauliza mbona unaniangalia hivyo?
Hajui nachomuwazia kichwani mwangu..
Ila kwa kile alichofanya nilibaki najisemea sio wote walio jela walidhamiria kwenda pale.
 
Unachanganya maturity na theory. Kuna comment kaulizwa kama ameoa kagoma kujibu. Kuna uwezekano maoni yake ni mostly nadharia. Haya mambo yanategemea na uwepo wa mtazamo chanya kutoka pande zote mbili.
Sasa kugoma kusema status ya mahusiano yake hadharani ndiyo kukosa maturity?
 
Kiuhalisia mwanaume ndie anamzaa mke wake kitabia kwa jinsi anavyomtreat na kumpenda,so unachopanda ndicho unavuna.
Hii notion huwa ni ya kipumbavu mno halafu naona kama inataka kukomaa.

Yaani hapa unajaribu kutwambia kwamba wanawake ni wakamilifu wa tabia na hawawezi kuonesha tabia za kipuuzi kwa utashi wao wenyewe bila kuchagizwa na mwanaume sio?

Yaan unataka kutuaminisha wanawake wote wamelelewa vema majumbani mwao na tabia mbovu huwa wanajifunzia kwa waume zao si ndio maanake?

Akili huna kabisa wewe.
 
Hivi mwanaume wajisikiaje pale unapoongea nami naongea,ukijibu nami najibu,ukiuliza na nauliza,ukikaripia nami nakaripa,ukinipiga nami narudishia,ukitukana nami zito hilo

I mean mwajisikiaje kuishi na mwanamke asiyeweza kushuka au kutii hata chembe?
No offense mwanaume anaejiheshim probaly atasitisha hayo mahusiano
Kama bado anakujal atakuwa anakuonya mara chache, ikizidi kipigo (kwa wale wasio na brake)

Ila mwenye self respect atayeyuka , you wont know kama umeachika
 
Hakika mkuu, kelele kazini kelele nyumbani 🥺
 
Hivi mwanaume wajisikiaje pale unapoongea nami naongea,ukijibu nami najibu,ukiuliza na nauliza,ukikaripia nami nakaripa,ukinipiga nami narudishia,ukitukana nami zito hilo

I mean mwajisikiaje kuishi na mwanamke asiyeweza kushuka au kutii hata chembe?
Ukikaripia nami "nakaripa" 🤣
 
No offense mwanaume anaejiheshim probaly atasitisha hayo mahusiano
Kama bado anakujal atakuwa anakuonya mara chache, ikizidi kipigo (kwa wale wasio na brake)

Ila mwenye self respect atayeyuka , you wont know kama umeachika
Kama ni mke wako tayari na watoto mmezaa itakuwaje?
 
Kwanini uruhusu mwanaume akukaripie, akutukane, akupige? kwanini msizungumze kama watu wazima na pia kuna dhambi gani mkipingana kwa hoja na mkaanza kujibizana kistaarabu bila matusi wala vipigo,
Kwanini unajiona wewe mwanamke unastahili kufanyiwa hayo na mwanaume wako ila ni ukosefu wa adabu ukimfanyia yeye? Unawezaje kumtii mtu anayekupiga na kukutukana?
Haya Sasa mzani ukae sawa hapa
 
Ishu ya kuishi na mwanamke mjeuri ni bahati mbaya tu lakini ukishajua mtu ni mjeuri unajipanga vizuri kiuchumi then unamuacha aishi kwa nguvu yake ya kiuchumi huna haja ya kugombana na mwanamke kwa mimi nawaza hivo mana mwanaume ukiwa mtata na mwanamke mtata kuna siku mtauana sasa yanini yote hayo si bora umuache.
Kwamba ipo siku mtauana 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom