Unawezaje kuishi na mwanamke asiye na utii

Hivi mwanaume wajisikiaje pale unapoongea nami naongea,ukijibu nami najibu,ukiuliza na nauliza,ukikaripia nami nakaripa,ukinipiga nami narudishia,ukitukana nami zito hilo

I mean mwajisikiaje kuishi na mwanamke asiyeweza kushuka au kutii hata chembe?
NIliwahi piga kenge moja keleb ya kufa mtu akataka kunivuta sehemu za siri. Nilikamata kichwa nikapiga kwenye frame ya mlango, I was mad kwa kweli. Akaona huyu jamaa ataniuwa, akaita dadake tuliyekuwa tunaishi naye ndani....dadaaa njoo ananiuwa. Nikazuia dada mtu kuingia chumbani.
Akatoka yeye akafata kisu. Dadake akamzuia asiingie chumbani na kisu.
It was her second time she holds a knife against me.
Hali ilivyotengemaa nikamdump for ever!
 
Ndo wapenzi wenu wapya walivyo ?
Poleen sana
 
Yeah,maana mwishowe mngeuana mkuu
 
Hivi mwanaume wajisikiaje pale unapoongea nami naongea,ukijibu nami najibu,ukiuliza na nauliza,ukikaripia nami nakaripa,ukinipiga nami narudishia,ukitukana nami zito hilo

I mean mwajisikiaje kuishi na mwanamke asiyeweza kushuka au kutii hata chembe?
Katika pitapita zangu nilishakuwa na ngoma design hiyo halafu ni cha P.....
 
Binafsi kwangu hakuna shida , kwa sababu nikioa nitakua nimeoa mtu ambae anakua huru kutoa hisia zake na sio kuishi na mimi kinafki/ mtumwa.
Check wapuuzi wa kike walivyokusapoti kwenye huu utumbo wako...haikatazwi mwanamke kueleza hisia cha msingi heshima izingatiwe.
 
Hivi huku mnaingia mkiwa mmekula kweli? , hapo nimendika binafsi na hao wanawake walio ni sapoti wamefanya hivyo kwa maamuzi yao na simu zao mwenyewe , sasa wewe kinachokuwasha kitu gani?
 
Back
Top Bottom