Unawezaje kuishi na mwanamke asiye na utii

Unawezaje kuishi na mwanamke asiye na utii

😂😂😂😂Mbavu zanguu 🙌
Kuna siku nikakuta simu yake ina mapicha picha na mavoicenote ni kaachana nayo tu siku nyingine nakuta mpya anasikiliza kwenye earbuds nyingine kaniacha chini ni kachukua nami nikasikiliza Weeeeeeh nikaja kuuliza siku nyingine tu akataka ushahidi mara kaipandisha sauti aisee nikaona namna ya kumnyamazisha ni kumuwasha banzi la mdomo...
Kuna wamama wanachukulia poa sana uanaume😀
 
Back
Top Bottom