Unawezaje kuishi na mwanamke asiye na utii

Unawezaje kuishi na mwanamke asiye na utii

Sidhani kama tunahitaji wanawake wanaotii tu....huu kwangu nauona utumwa na ushamba.

Unanyanyaswa utii tu....mwanamke IQ yake ndogo kuliko yako utii huku unaona anakupeleka shimoni.

Nachokiona kikubwa hapa ni kufumisha mawasiliano ya heshima na staha iwe kwa mwanamke kwenda kwa mwanaume au mwanaume kwa mwanamke.
Aione Lamomy hii😂🙏🙏
 
Back
Top Bottom