Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 179,428
- 197,153
Usiogope kua na amani mama mchungaji...Jioni njema 🙄
Usiogope kua na amani mama mchungaji...Jioni njema 🙄
Hahahaha,mie najifunza tu, Rafiki na kusoma maoniUsimzingatie kabisa tafadhali
HahahahaUsiogope kua na amani mama mchungaji...
Ni rahis kusema ila kwenye kujizuia usipatwe na hasira kwa Mwanamke ambaye anaona kushindana na wewe ndio njia pekee ya kuongea nawe.!? Mimi siwezi vumilia na Mwanamke mshindani. Naelewa kuwa yeye ni mtu mzima na tunatofautiana katika kuyaona mambo (perception) ila Hata weza kujishusha tutafikia hatua mabaya sana. Sitaweza kumpiga zaidi nitaondoka na kumwacha.Big Thank you, kwa hakika unajitambua sana, i send you my 😘😘😘
Kwanini unajiona wewe mwanamke unastahili kupewa huduma na mwanaume wako ila ni ukosefu wa maadili na tamaduni kwa mwanamke kumhudumia mumewe?.Kwanini unajiona wewe mwanamke unastahili kufanyiwa hayo na mwanaume wako ila ni ukosefu wa adabu ukimfanyia yeye?
Namlamba makofi🤣🤣Kupo mpenzi,kama wewe huna hela hata ya chumvi...moto unao
Ni ngumu sanaNi rahis kusema ila kwenye kujizuia usipatwe na hasira kwa Mwanamke ambaye anaona kushindana na wewe ndio njia pekee ya kuongea nawe.!? Mimi siwezi vumilia na Mwanamke mshindani. Naelewa kuwa yeye ni mtu mzima na tunatofautiana katika kuyaona mambo (perception) ila Hata weza kujishusha tutafikia hatua mabaya sana. Sitaweza kumpiga zaidi nitaondoka na kumwacha.
Swadaktaaaa!!!Binafsi kwangu hakuna shida , kwa sababu nikioa nitakua nimeoa mtu ambae anakua huru kutoa hisia zake na sio kuishi na mimi kinafki/ mtumwa.
Mkuu wewe si kataa ndoa?Binafsi kwangu hakuna shida , kwa sababu nikioa nitakua nimeoa mtu ambae anakua huru kutoa hisia zake na sio kuishi na mimi kinafki/ mtumwa.
HahahahaMkuu wewe si kataa ndoa?
Unaoaje tena?
Wapi nimeandika nafunga ndoa?Mkuu wewe si kataa ndoa?
Unaoaje tena?
Nakubaliana nawe mkuu,utulivu ni kitu muhimu sanaKitu Sipendi Ni Makelele Nyumbani Kwangu, This will be Hell NO.
Mimi ni mpole & Dipromatic Kiasi kwamba Mademu wengi wanahisi they can control and abuse me, siku wakishtuka ina kua too late na nilishasepa.
Kwenye ndoa, Mke wangu ni lazima ajue language & Tone ya kuongea na mimi.
Otherwise Nitavunja hyo ndoa bila kumshirikidha mtu yeyote hata kama tumeifunga jana