Unawezaje kuishi na mwanamke asiye na utii

Ukikuta mwanaume ana mwanamke wa hivyo na amefunga nae ndoa.... basi ujue huyo mwanaume hakujipa wakati wa kutosha kumfaham aina ya mwanamke anae taka kumuoa. Na hili ni kosa kubwa sana wanaume hulifanya
Tumejuana wiki kadhaa nyuma. Kuna ubaya kufunga ndoa ndani ya mwezi mmoja?
Au unataka tuendelee kutqmbana tu tufanye zinaa Kwa kigezo Cha kutaka kujuana kwanza 🤣🤣
 
Hii scenario ya mwanamke kupigwa kutukanwa umeiweka kumfanya aonekane ni victim na kuhalalisha yeye kutokutii.

Kutokutii ni kutofuata maagizo labda kama uko katika mahusiano yasiyo na kiongozi.

Mwanamke huyohuyo akiwa ofisini hawezi acha fuata maagizo lakini si nyumbani.

Kutii sio unyonge wala udhaifu, ni kujua na kuheshimu nafasi yako na mwenzako.
 
Kiuhalisia mwanaume ndie anamzaa mke wake kitabia kwa jinsi anavyomtreat na kumpenda,so unachopanda ndicho unavuna.wanaume unatoka upendo
Uko sahihi, kilw nafasi/cheo kinakuja na wajibu, mume anawajibu wa kutoa upendo, ulinzi na penetration, mke anawajibu wa kutoa utii(submission). Hapo amani tu.
 
Soma vizuri uelewe kwa utulivu,sijasema wanawake ni wakamilifu ila mwanaume anauwezo mkubwa sana wa kumbadili mwanamke kitabia kama umepevuka kiakili bila kutumia hisia zaidi.
 
Hivi mwanaume wajisikiaje pale unapoongea nami naongea,ukijibu nami najibu,ukiuliza na nauliza,ukikaripia nami nakaripa,ukinipiga nami narudishia,ukitukana nami zito hilo

I mean mwajisikiaje kuishi na mwanamke asiyeweza kushuka au kutii hata chembe?
Nipm namba yako nikupe ya soda mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…