Kwa mtu unayemkula mkuu.!Binafsi kwangu hakuna shida , kwa sababu nikioa nitakua nimeoa mtu ambae anakua huru kutoa hisia zake na sio kuishi na mimi kinafki/ mtumwa.
Low self esteemKwanini uruhusu mwanaume akukaripie, akutukane, akupige? kwanini msizungumze kama watu wazima na pia kuna dhambi gani mkipingana kwa hoja na mkaanza kujibizana kistaarabu bila matusi wala vipigo,
Kwanini unajiona wewe mwanamke unastahili kufanyiwa hayo na mwanaume wako ila ni ukosefu wa adabu ukimfanyia yeye? Unawezaje kumtii mtu anayekupiga na kukutukana?
Indeed, ndio maana tunaambiwa sana tufanye kazi hayo zaidi huwakuta wale golikipaLow self esteem
Mkuu , binafsi naona mke ni mshirika wa maisha zaidi ya kuwa mtumwa wa kihisia , nae ni binadamu kuonyesha hisia zake ni jambo la kawaida kabisa , ukizuia hilo utakua umepanda sumu moja mbaya sana ya unafki.Sidhani kama Kuna mwanaume anayeweza hayo bila msaada wa Bangi!
Kuna mutah shekhe wapi unakwama.!?binafsi kiboko kwa mke ni mkojolo, awe romantic asiwe romantic ni bakora tu,
Akininyima naenda kumsema kwao sipewi unyumba, shida ni pale ukiowa gari usiloweza kuendesha.
Umsugue vizuri atakukolomea kweli 😆😂
Hajaa kwa mstari huyo min -me hapo ana stimu kichwani,akili zikimrudia atajutia kauli yakeUmekaa kwa mstari sana
Samahani mkuu! Jimbo lipo wazi?Binafsi kwangu hakuna shida , kwa sababu nikioa nitakua nimeoa mtu ambae anakua huru kutoa hisia zake na sio kuishi na mimi kinafki/ mtumwa.
Watu wanaishi hivyo mkuu,ila naona mwanaume anapatashida sana
Unajisikia vibaya sana, unaona kuwa huheshimiwi. Kuhusu utaishije nae, itategemea na hali yenu kama mna watoto au la. Wanaume tunajali kuhusu watoto, kwa hiyo unaweza kumuacha aendelee kuishi kwa ajili ya watoto, ila hatua sahihi ya kuchukua ni kumtema. Akaoneshe hakinsawa mahali kwingine, ikiwezekana awe mbunge kabisa lakini sio nyumbani kwako.Hivi mwanaume wajisikiaje pale unapoongea nami naongea,ukijibu nami najibu,ukiuliza na nauliza,ukikaripia nami nakaripa,ukinipiga nami narudishia,ukitukana nami zito hilo
I mean mwajisikiaje kuishi na mwanamke asiyeweza kushuka au kutii hata chembe?