- Thread starter
- #181
Ah sawa AsanteKwa kuwa hamuishi pamoja nitakupa mbinu ambazo hazitahili
Ila zingatia hili
Kipindi hichi kabla hujawa mamtu ndo cha ku enjoy
Kama huenjoy now eeeeee tegemea kushusha nyuzi kumi kwa siku ukiingia ndoani
Ah sawa AsanteKwa kuwa hamuishi pamoja nitakupa mbinu ambazo hazitahili
Ila zingatia hili
Kipindi hichi kabla hujawa mamtu ndo cha ku enjoy
Kama huenjoy now eeeeee tegemea kushusha nyuzi kumi kwa siku ukiingia ndoani
Mimi sikosagi storyKuna wanawake ni wakuwapuuza!,unakuta anakupigia mwenyewe halafu anakwambia niambie mara leta story,anataka muongee mda mrefu na hana chochote cha kukwambia,sipendi kabisa mawasiliano nonsense kama hayo
Aah nachoka mm jamani nachoka hebu nipe sasa hizi els nione utsm wake 😂😂Nipo single and available Aaliyyah. Nimetafuta sana mtu wa kushare nae hizi fedha ila wanaruka ruka tu.
Mwanaume hatafutw mpenz relax atakuja tu wakoNampata wapi nimechoka kutafuta
Wanaume wote hao waliojazana, we jichagulie mmoja, jiweke, maisha yaende.Nampata wapi nimechoka kutafuta
Kaka i miss u
Nakumiss zaidi ndugu yangu..Kaka i miss u
Ndio tulivyoYeah ni kweli even nilipokuwa kwake anaenda kazini ukiona simu yake ujue anauliza kama umekula basi mpk akawa anajishtukia mwenyewe kwamba anajiuliza mimi namchukuliaje anavyokuwa kimya na nipo kwake.. nikamwambia tu kwasababu ya kazi yako nitaenda hivyohivyo
Waaaaaaah💥 umegusa penyewe bro halafu nitoboe nione vimaneno nilikuwa nakusaidia tugawaneHapo ndo huyo mdada anakupenda, ila support hakupi, jiulize asingekupenda ingekuaje 😂😂 Xiao qui shui
Sanaaaa napenda mwanamke anayetambua kesho yake kuliko hisia za Leo, sasa yeye haoneshi kuelewa fyucha yupoyupo TUWewe unafanya hivyo kwasababu umeonaa hana future vipi kama ungempata mwenye future mngakuwa mnawasiliana hivyo
Sio kweli bana usimvunje moyo dada wawatu.Hakufai huyo anae mtu wake wa malengo.
Dah haya na mkaribishaWaaaaaaah💥 umegusa penyewe bro halafu nitoboe nione vimaneno nilikuwa nakusaidia tugawane
Aiseee atagawana na Mwachiluwi tu
Uzima upo kabisaNakumiss zaidi ndugu yangu..
Uzima upo lakini?
Nafurahi km umzimaUzima upo kabisa
Ushaurii wako ni nini mkuuSio kweli bana usimvunje moyo dada wawatu.
Kuna watu kama sisi pia tuko low sana kwenye ishu ya kuchati na mademu zetu, lakini haina maana kwamba hatuwapendi.
Kwangu mimi sometimes kuanza tu kumtumia mtu meseji bila sababu ya msingi just to kuchati naonaga imekaa kiwaki.
Hususan pale ambapo unakuwa hujui mwenzako upande wa pili yupo katika situation gani, pengine yupo tight na michongo yake halafu nawewe unataka attention yake kwenye meseji zako.
Na kingine achukue hii.
Mawasiliano yakizidi sana hayatengenezi upendo, hutengeneza mpasuko. Asili ya binadamu ni kuchokana, mkitengeneza mazingira ya kila muda kuwasiliana itafika muda mtaanza kukinaiana.
Tafiti zinaonyesha hata talaka nyingi zilitolewa kipindi cha lockdown ya Corona na hii ni kutokana na couples nyingi kushinda pamoja muda mrefu.
Na ndio maana hata mahusiano ya dating yana upendo unao last longer kuliko ndoa na hii ni kutokana na kwasababu kila mmoja anatokea kwake.
Ila mkiwa na mahusiano ambayo hamko attached sana mara nyingi hutengeneza hamu ya kuzidi kuwa karibu sana na ndio hapo upendo hustawi.
Hiki kinachomtokea mtoa mada ni kwasababu ya shauku iliyokuja baada ya mahusiano yao kuwa na mawasiliano ya wastani.
SawaPengine unampenda sana yeye hakupendi au ndio jinsi tu alivyo.
Hiyo hali iliwahi kunitokea kwa mwanamke mmoja huko 2019 sms inajibiwa baada ya masaa 20 .Nilikaa nikajiuliza kwa sasa hivi huu utandawazi kila saa mtu anabonyeza simu na kuperuzi kwenye mitandao inamaana meseji zangu hazioni nikajua sina umuhimu kwake . Nikaamua kupita kushoto akawa akijisikia kunitafuta sms zake sijibu au naweza kujibu baada ya wiki penzi likaisha hivyo hivyo.
Baada ya miezi kadhaa nilikuja kupata binti wa miaka 17 alinipenda sana yaani nilikuwa natafutwa kwenye simu kila dakika mpaka nikawa naona kero but kwa sababu ya yale niliokuwa nimepitia nikajikuta kila anaponitafuta najitahid kumjibu kwa wakati penzi likanoga nikaamua kumuoa now tuna miaka 5 na mtoto juu lakini naona penzi bado jipya.
Kwa hiyo changa karata zako vizuri ukiona haeleweki achananae utapata mnaependana haina haja kuishi na wasiwasi kwenye mahusiano.
Kwaiyo hitimisho ni kuwa kuwasiliana na mpnz wako mara kwa mara unapenda ni vile hujapata wa kuendana naeSanaaaa napenda mwanamke anayetambua kesho yake kuliko hisia za Leo, sasa yeye haoneshi kuelewa fyucha yupoyupo TU
Na kilichosababisha nijivue zaidi ni pale nilipomdaka na texts za mapenz zaidi ya mara mbili
HayaWanaume wote hao waliojazana, we jichagulie mmoja, jiweke, maisha yaende.
Usiwe desperate sana, ukikosa unavunga kidogo atatokea tu wa kwendana na wewe
SawaMwanaume hatafutw mpenz relax atakuja tu wako