Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,421
- 40,936
Hawa watu kila siku biashara ya ukahaba wanaipamba kwa jina jipya. Mwanamke hajaolewa harafu anataka kuhudumiwa na anachotoa in-return ni sex sasa si biashara hiyoAmuhudumie wakati hawajaoana