Unawezaje kukopi maandiko yaliyopo zaidi ya miaka 600 na kusema ni mafunuo yako mapya

Championship

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2019
Posts
5,500
Reaction score
10,616
Kuna baadhi ya mambo yanasikitisha sana pale unapoona mtu anaweza kupata wafuasi wengi kwa kuwaeleza kwamba amekuja kwa kutumwa.

Mtu huyo anakusanya yaliyoandikwa kwenye vitabu vilivyopo mjini halafu anakaa mahali anavikariri na kuongezea vichache kisha anasema hivi vyote ni vipya vimeshushwa leoleo.
 
Piga hela wewe.
Usiwaseme waliomezani wakila.
 
Ajabu ni kwamba mtu huyo aliye copy na kukariri hayo maneno ya miaka 600 alikuwa hajuwi kusoma wala kuandika.

Mungu ni fundi Sana,,

Hakika aliyajuwa haya kwamba wataibuka vichwa maji na kuhoji hilo.
Akamleta mtu asiyekwenda shule na kumpa uwezo wa kusoma na kuandika bila shule.

Hakika mtu huyo ndy mwanasayansi mkubwa ambaye hajawahitokea dunia.

Hakika yote yanayogunduliwa leo hapa duniani,
Yalishazungumzwa kwenye Quran..
 
Leta hapa ushahidi kwamba mtu huyo hakujua kusoma wala kuandika. Pia Elezea jukumu la waraqua katika uandaaji na 'ushushaji' wa hayo maandiko.
 
Kuna baadhi ya mambo yanasikitisha sana pale unapoona mtu anaweza kupata wafuasi wengi kwa kuwaeleza kwamba amekuja kwa kutumwa.

Mtu huyo anakusanya yaliyoandikwa kwenye vitabu vilivyopo mjini halafu anakaa mahali anavikariri na kuongezea vichache kisha anasema hivi vyote ni vipya vimeshushwa leoleo.
Buyobe😂😂
 
Kumbe mada inahusu dini, bc mtajuana wnyw hukooooooooo
 
Back
Top Bottom