Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ajabu ni kwamba mtu huyo aliye copy na kukariri hayo maneno ya miaka 600 alikuwa hajuwi kusoma wala kuandika.
Mungu ni fundi Sana,,
Hakika aliyajuwa haya kwamba wataibuka vichwa maji na kuhoji hilo.
Akamleta mtu asiyekwenda shule na kumpa uwezo wa kusoma na kuandika bila shule.
Hakika mtu huyo ndy mwanasayansi mkubwa ambaye hajawahitokea dunia.
Hakika yote yanayogunduliwa leo hapa duniani,
Yalishazungumzwa kwenye Quran..
Wanavaa mabomu na kujilipua.🤣🤣[emoji23] [emoji23] halafu kuna watu wamezama hawasikii hawaambiliki
Wewe jibu hoja acha kufuatilia maisha ya watu. Umewahi kuombwa chochote? Mimi ni mhandisi mwandamizi, fedha sio miongoni mwa matatizo kwangu. Nataka wewe uupate wokovu na uzima wa milele.Huyu Championship, kuna sehemu hayuko sawa, Muda wote yuko online, kuwakosanisha Watanzania kwa mada za udini, huku akijidanganya Yesu atamtendea mema, kwa kumpigania kwa njia hii.
Kumbe anamkosea Yesu, maana watu wanamkashifu na hata kumtusi Yesu na Wakkristo wote kisa mada aliyoianzisha yeye.
Bwashee hizo aya zilishuka kwa muda wa takribani miaka 23..... Hata kama ni ku kopi hamna atayekuwa na uvumilivu huoKuna baadhi ya mambo yanasikitisha sana pale unapoona mtu anaweza kupata wafuasi wengi kwa kuwaeleza kwamba amekuja kwa kutumwa.
Mtu huyo anakusanya yaliyoandikwa kwenye vitabu vilivyopo mjini halafu anakaa mahali anavikariri na kuongezea vichache kisha anasema hivi vyote ni vipya vimeshushwa leoleo.
Aisee kumbeManuscripts za birmingham za quran ziliandikwa kabla ya kipindi cha muhammad.
Hakuna anayeweza kuthibitisha zilishuka kutoka wapi.. hata hivyo manuscripts za quran zilizopo birmingham england zinaonesha kuwa ziliandikwa kabla ya kipindi cha muhammad.Bwashee hizo aya zilishuka kwa muda wa takribani miaka 23..... Hata kama ni ku kopi hamna atayekuwa na uvumilivu huo
Ziliandikwa na nani?Hakuna anayeweza kuthibitisha zilishuka kutoka wapi.. hata hivyo manuscripts za quran zilizopo birmingham england zinaonesha kuwa ziliandikwa kabla ya kipindi cha muhammad.
Angalia sasa upumbavu wako, eti nafuatilia maisha ya watu, hivi unakijua unachokiandika kweli.Wewe jibu hoja acha kufuatilia maisha ya watu. Umewahi kuombwa chochote? Mimi ni mhandisi mwandamizi, fedha sio miongoni mwa matatizo kwangu. Nataka wewe uupate wokovu na uzima wa milele.
Yesu Kristo ukimtukana katika kipindi hiki cha neema anakusamehe na kukuvuta kwake kwa upendo mwingi. Ipo siku inakuja ambapo neema itaisha ndipo utakapolia na kusaga meno usipomkubali.
Umekatizia njiani.Kuna baadhi ya mambo yanasikitisha sana pale unapoona mtu anaweza kupata wafuasi wengi kwa kuwaeleza kwamba amekuja kwa kutumwa.
Mtu huyo anakusanya yaliyoandikwa kwenye vitabu vilivyopo mjini halafu anakaa mahali anavikariri na kuongezea vichache kisha anasema hivi vyote ni vipya vimeshushwa leoleo.
Tupe muendelezo.😂Umekatizia njiani.