Unawezaje kukopi maandiko yaliyopo zaidi ya miaka 600 na kusema ni mafunuo yako mapya

Ajabu ni kwamba mtu huyo aliye copy na kukariri hayo maneno ya miaka 600 alikuwa hajuwi kusoma wala kuandika.

Mungu ni fundi Sana,,

Hakika aliyajuwa haya kwamba wataibuka vichwa maji na kuhoji hilo.
Akamleta mtu asiyekwenda shule na kumpa uwezo wa kusoma na kuandika bila shule.

Hakika mtu huyo ndy mwanasayansi mkubwa ambaye hajawahitokea dunia.

Hakika yote yanayogunduliwa leo hapa duniani,
Yalishazungumzwa kwenye Quran..

Akawa mtu wa jirani na Walaga mtaaramu na mbobezi wa vitabu vya kikristo ! [emoji23]
 
Huyu Championship, kuna sehemu hayuko sawa, Muda wote yuko online, kuwakosanisha Watanzania kwa mada za udini, huku akijidanganya Yesu atamtendea mema, kwa kumpigania kwa njia hii.
Kumbe anamkosea Yesu, maana watu wanamkashifu na hata kumtusi Yesu na Wakkristo wote kisa mada aliyoianzisha yeye.
 
Wewe jibu hoja acha kufuatilia maisha ya watu. Umewahi kuombwa chochote? Mimi ni mhandisi mwandamizi, fedha sio miongoni mwa matatizo kwangu. Nataka wewe uupate wokovu na uzima wa milele.

Yesu Kristo ukimtukana katika kipindi hiki cha neema anakusamehe na kukuvuta kwake kwa upendo mwingi. Ipo siku inakuja ambapo neema itaisha ndipo utakapolia na kusaga meno usipomkubali.
 
Kuna baadhi ya mambo yanasikitisha sana pale unapoona mtu anaweza kupata wafuasi wengi kwa kuwaeleza kwamba amekuja kwa kutumwa.

Mtu huyo anakusanya yaliyoandikwa kwenye vitabu vilivyopo mjini halafu anakaa mahali anavikariri na kuongezea vichache kisha anasema hivi vyote ni vipya vimeshushwa leoleo.
Bwashee hizo aya zilishuka kwa muda wa takribani miaka 23..... Hata kama ni ku kopi hamna atayekuwa na uvumilivu huo
 
Baadhi ya contradictions kwenye quran

1. Sura 19:67 inasema binadamu aliumbwa kutoka kwenye 'nothing' halafu Sura 15:28 inasema binadamu aliumbwa kutokana na udongo. Je udongo ni "nothing"?

2. Sura 5:90 inasema ulevi ni kazi ya shetani halafu sura 47:15 inasema ahera kuna mito ya mvinyo. Surah 83:22-25 inasema kiu ya watu wa haki itakatwa na mvinyo.

Allah kachanganyikiwa.
 
Bwashee hizo aya zilishuka kwa muda wa takribani miaka 23..... Hata kama ni ku kopi hamna atayekuwa na uvumilivu huo
Hakuna anayeweza kuthibitisha zilishuka kutoka wapi.. hata hivyo manuscripts za quran zilizopo birmingham england zinaonesha kuwa ziliandikwa kabla ya kipindi cha muhammad.
 
Wewe jibu hoja acha kufuatilia maisha ya watu. Umewahi kuombwa chochote? Mimi ni mhandisi mwandamizi, fedha sio miongoni mwa matatizo kwangu. Nataka wewe uupate wokovu na uzima wa milele.

Yesu Kristo ukimtukana katika kipindi hiki cha neema anakusamehe na kukuvuta kwake kwa upendo mwingi. Ipo siku inakuja ambapo neema itaisha ndipo utakapolia na kusaga meno usipomkubali.
Angalia sasa upumbavu wako, eti nafuatilia maisha ya watu, hivi unakijua unachokiandika kweli.
Kichwa cha habari yako hakihusiani na maisha ya watu, mnu
ka mavi wee.
 
Kuna baadhi ya mambo yanasikitisha sana pale unapoona mtu anaweza kupata wafuasi wengi kwa kuwaeleza kwamba amekuja kwa kutumwa.

Mtu huyo anakusanya yaliyoandikwa kwenye vitabu vilivyopo mjini halafu anakaa mahali anavikariri na kuongezea vichache kisha anasema hivi vyote ni vipya vimeshushwa leoleo.
Umekatizia njiani.
 
Back
Top Bottom