Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
Hii komenti ina uhusiano na mada au tozo zimekuchanganya?Kwa tulipofikia huwezi kuwauwa waislamu wote wala wakristo wote n.k chakufanya komaa na unachokiamini ili upate kile unachokitarajia mengine waachie wenyewe
Itakuwa tozo hio mkuuHii komenti ina uhusiano na mada au tozo zimekuchanganya?
Hii mada haina tija wala faida kwangu.Jaribu kujikita kwenye mada iliyopo mezani. Hivi battawi ni ndugu yak
Pole sana kwa kukosa tija katika mada hii. Pengine kuna maeneo umeamua kuyapuuza yanapohojiwa kwasababu yanao ukweli unaotoa changamoto katika kile ulichokariri.Hii mada haina tija wala faida kwangu.
Kuna baadhi ya mambo yanasikitisha sana pale unapoona mtu anaweza kupata wafuasi wengi kwa kuwaeleza kwamba amekuja kwa kutumwa.
Mtu huyo anakusanya yaliyoandikwa kwenye vitabu vilivyopo mjini halafu anakaa mahali anavikariri na kuongezea vichache kisha anasema hivi vyote ni vipya vimeshushwa leoleo.
Wavaa kobaziHaueleweki, nani aliyewahi kusema kashushiwa maandiko?
Leta hapa ushahidi kwamba mtu huyo hakujua kusoma wala kuandika. Pia Elezea jukumu la waraqua katika uandaaji na 'ushushaji' wa hayo maandiko.Ajabu ni kwamba mtu huyo aliye copy na kukariri hayo maneno ya miaka 600 alikuwa hajuwi kusoma wala kuandika.
Mungu ni fundi Sana,,
Hakika aliyajuwa haya kwamba wataibuka vichwa maji na kuhoji hilo.
Akamleta mtu asiyekwenda shule na kumpa uwezo wa kusoma na kuandika bila shule.
Hakika mtu huyo ndy mwanasayansi mkubwa ambaye hajawahitokea dunia.
Hakika yote yanayogunduliwa leo hapa duniani,
Yalishazungumzwa kwenye Quran..
Buyobe😂😂Kuna baadhi ya mambo yanasikitisha sana pale unapoona mtu anaweza kupata wafuasi wengi kwa kuwaeleza kwamba amekuja kwa kutumwa.
Mtu huyo anakusanya yaliyoandikwa kwenye vitabu vilivyopo mjini halafu anakaa mahali anavikariri na kuongezea vichache kisha anasema hivi vyote ni vipya vimeshushwa leoleo.
Tunaendelea kuwasubiri maana wako njiani wanakuja.😂Walete mkuu... wanawezaje wezaje?
Wenye dini ndio wameivamia mada inayohusu plagiarism.😂Kumbe mada inahusu dini, bc mtajuana wnyw hukooooooooo