Unawezaje kukopi maandiko yaliyopo zaidi ya miaka 600 na kusema ni mafunuo yako mapya

Yupo, jaribu kufuatilia maana wafuasi wake wameshajitokeza humu.
Kashushiwa maandiko tofauti na haya yaliyopo au kuna mambo "KAFUNULIWA"
Sijawahi kuona mhubiri/mtumishi/Nabii/ Mwinjilisti NK anayesema kashushiwa maandiko zaidi ba Mtume pekee
 
Hata leo wewe unaweza anzisha dini yako ukaipa jina lolote na ukadai Adam, Eliah Jesus etc wote walikuwa wafuasi wa Dini hiyo ukiombwa ushahidi unato scriptures zako wewe mwenyewe kama ushahidi.
Dini huwa watu wanaamua tu kuzianzisha?
 
Ingefaa zaidi kma ungemtaja uyo aliye kopi na ungesema iko alichokop ili tujibu kma amekopi au hajakopi


Zaidi ya hapo wivu tu unakusumbua
 
Jamaa wa meka na madina?
 
Acha uchokozo bablai😅
 
lile swala tozo bado halijaisha vzr mumefufua jingine tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…