Unawezaje kumfanya mpenzi wako awe na Exposure?

Haswa mkuu , Yaani upo kichwani kwangu kabisaa . Nimekusoma sana mkuu .👏
 
Sawa mkuu ...Kwa hiyo IQ yake ikiwa ndogo watoto wangu nimeumiaaa. Duuh
 
Mkuu hapo UDSM kuna maprofesa wameoa watu wenye academic exposure ndogo na wamedumu nao...academia is not amongst the pillars of a healthy marriage !

Wengi walikuwa bored hivyo hivyo kama huyo jamaa Mleta mada!

Waloweza kuishi waliishi nao kimakandamkanda tu.

Kiukweli ni mtihani kuoa au kuolewa na kilaza!
 
Sawa mkuu ...Kwa hiyo IQ yake ikiwa ndogo watoto wangu nimeumiaaa. Duuh
Watoto ni matokeo ya gene combination.
Vipi kama zote zikiwa high au kinyume chake.
Na vipi kama walau mmoja ipo juu mkapata uwezo wa kati?
Najua hakuna asiyependa kilicho bora
 
Pamoja sana mkuu , umesomeka vyema .
 
Watoto ni matokeo ya gene combination.
Vipi kama zote zikiwa high au kinyume chake.
Na vipi kama walau mmoja ipo juu mkapata uwezo wa kati?
Najua hakuna asiyependa kilicho bora
Okay mkuu nimekusoma vyema sana.
 
Wengi walikuwa bored hivyo hivyo kama huyo jamaa Mleta mada!

Waloweza kuishi waliishi nao kimakandamkanda tu.

Kiukweli ni mtihani kuoa au kuolewa na kilaza!
Yaaani it is real annoying kwa kweli , Inahitaji moyo wa chuma.
 
Akishapata hicho unachotaka sijui exposure utarudi tena hapa kulia lia. Angalia hasa unachotaka kutoka kwake acha mbwembwe.
 
Kwa hiyo Exposure unayejua ni kuliwa tigo? Aiseeee pttuuuuuh ...Guys naongea Academic exposure
Aisee engineer unaandika pttuuuuh
Tuna kazi yakulea vijana wetu.

Kiufupi uhalisia wa maisha haviendani na academic ishu kabisa mambo yakijakuwa mengi ndo utakuja elewa.
 
Mtoa maada nadhani mtu wako kwa sifa ulizo mpa nadhani kinachokukera Ni uwezo mdogo wa kuperform kitandani Sasa inaonyesha wewe una exposure kubwa ya hayo Mambo jitahidi umpe elimu taratibu taratibu[emoji125][emoji125][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…