Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haswa mkuu , Yaani upo kichwani kwangu kabisaa . Nimekusoma sana mkuu .👏Nimekuelewa sana mkuu "concern" yako
Unataka mtu wa hadhi yako.. asiyenyuma kwenye masuala "mtambuka" anayeenda na ulimwengu wa habari, sayansi na teke linalokujia.. VEMA ni mhimu binafsi ninaye wa hivyo, tofauti tu ni kuwa wangu yuko tayari kupata maarifa mapya, anapenda kujifunza.
Jaribu kwenda naye pole, dili naye kwa kitu kimoja kimoja, mwisho wa siku ataenda sawa nawe. Tahadhari tu usioneshe kumdharau kwa kutojua vitu/mambo.. fanya kiurafiki zaidi ukimueleza umuhimu wa kuvifahamu.
Sawa mkuu ...Kwa hiyo IQ yake ikiwa ndogo watoto wangu nimeumiaaa. DuuhKama ni exposure ya kujua Rais wa Rwanda ameingia madarakani lini, Iran ina vinu vingapi vya nuklia nk hayo ni hayamfanyi kutokuwa mama bora wa familia yako.
Omba Mungu awe na IQ kubwa ambayo bahati mbaya haikupata mazingira ya kuibua na kuonesha kipaji chake.
IQ yake atairithisha kwa watoto, IQ hiyo itamsaidia kuwalea watoto kwa njia bora. Itamfanya kutambua wageni ni baraka kwa familia
Mengine atajifunza kutoka kwako. Kwa sababu unaamini kuwa na exposure kuliko yeye atajivunia mumewe kuwa mwalimu wake bora.
Mkuu hapo UDSM kuna maprofesa wameoa watu wenye academic exposure ndogo na wamedumu nao...academia is not amongst the pillars of a healthy marriage !
Watoto ni matokeo ya gene combination.Sawa mkuu ...Kwa hiyo IQ yake ikiwa ndogo watoto wangu nimeumiaaa. Duuh
Pamoja sana mkuu , umesomeka vyema .Kuwa na mwanamke mwenye very low exposure inakera somehow ..lakini km mwanamke huyo huyo anasifa zingine zinazombeba km ,heshima, asiye na tamaa ,mwaminifu na mchapa kazi huyo anafaa kuoa,
DUNIA ya sasa inaenda kasi sana ,technologia inazid kukua ,pengine unahofia watoto wako watakua na Mama wa namna gan lakini trust me , ukipata mwanamke mwenye sifa za mke regardless elimu yake .Oa .
Watoto wa siku hz wanapaswa kufundishwa ujasiriamalia na biashara tangu wakiwa wadogo ,au kuwekeza katika vipaji vyao ,na sio ku focus na ma homework ya shule najua unahofia huyo mwanamke ataweza hata kufuatilia homework za watoto?
Aisee engineer unaandika pttuuuuhKwa hiyo Exposure unayejua ni kuliwa tigo? Aiseeee pttuuuuuh ...Guys naongea Academic exposure
hahahahha , na kuweka kipini chini ya ulimi na quAkishakuwa hivi 👇baadaye utakuja kulia lia amebadilika🐒
View attachment 1985070
Achana nae tafuta msomiMkuu nina mpango huo ila ananitia mashaka kiaina.
Saa ya kuimba parapanda wenye exposure watajua wazi kilichomuua marehemu ni michangamsho na siyo ulozi.Michangamsho huendana pamoja na maradhi kama presha, kisukari na mashambulizi ya moyo[emoji125][emoji125][emoji125]
Aisee mvumilie hivyo , kikubwa ni upendo kati yenu haijalishi kuwa hana exposure ambayo wewe unaitaka .Sawa mkuu , ile sharp mind huwezi kuiinstall kwa mtu aliyekomaa akawa Sharp in thinking ?