Cryptographer
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 376
- 737
Dah!! Usharogwa,pole sanaUnajua nini kaka,, kwako ni kwako tu. Niliporudi the same day niliona mabadiliko hapo nyumbani ambayo yalinipita wasiwasi mkubwa! Yani kulikua na vitu tofauti na nilivyoviacha mimi pia katika kufanya usafi mara nikute cheni . Kuna vyombo vyangu vingine nilikua sivioni. Nguo yangu fulani hivi ( kikoi) pia sikuvikuta sasa kumuuliza hanyooshi maelezo dah..
Au dada ujuaji mwingi,kila kila kitu anataka kifanyike anavyotaka yeye,makosa kwa mwenzie akifanya yeye sio kosa,usista duu hadi chumbani,mbususu kwa mgao...Sawaa,
1. Huko nyuma alishawahi kucheat au ushawahi ona suspicious yeyote
2. If yes mli solve vp hio issue
3. If no nahiic atakuwa sio mzoefu wa kucheat so Bora umsamehe, kwann nasema hivyo.
a. Kumleta mtu Hadi home na kuharibu utaratbu wa pale nyumban bila kuurudisha ulivyokuwa inaonesha ye sio mzoefu wa mambo ya kucheat, LAKIN pia inawezekana ni mzoefu lakin sio mzoefu wa kuleta home.
4. Kama anamleta home na akijua kuna watoto au majiran wanaona simply kakuchoka na anataka ujue hiyo mienendo yake muachane.
5. La mwisho yamkini mmekwazana na ndomana anafany hayo yote uumie
Hapa umeshaingia vitani, labda hivyo vitu vyako akatumie kwa wema tu.Unajua nini kaka,, kwako ni kwako tu. Niliporudi the same day niliona mabadiliko hapo nyumbani ambayo yalinipita wasiwasi mkubwa! Yani kulikua na vitu tofauti na nilivyoviacha mimi pia katika kufanya usafi mara nikute cheni . Kuna vyombo vyangu vingine nilikua sivioni. Nguo yangu fulani hivi ( kikoi) pia sikuvikuta sasa kumuuliza hanyooshi maelezo dah..
Kosa alilofanya ni kukiri kosa,mpaka sasamngekuwa poa tu......mwanaume fanya ufanyavyo usikiri kosa utatengeneza ufa usiozibikaHabari za weekend wanajamvi!
Unawezaje kusamehe kirahisi mwanaume aliyecheat tena kwa kumleta mwanamke mwingine nyumbani mnakoishi!! ???!!!
Ni mumeo wa ndoa na mna watoto. Katika harakati za kutafuta pesa ulisafiri kwa muda fulani ndipo alipotumia mwanya huo kufanya aliyofanya.
Uliporudi ukakutana nahizo habari! Na badae mwenyewe kukiri kabisa kufanya kitendo hiko eti hatarudia tena! Inauma sana. Kama wewe utafanyeje hapo!!?? Binafsi sijui hata nifanye nini tangu atubu sijamjibu chochote nipo kimyaa ila naumia sanaaaa!
View attachment 2024934
wanaume wengi tunachepuka ila hiyo ya kumleta ndani siyo sawa. Je watoto walikuwepo hapo nyumbani? Kama walikuwepo basi huyo mume wako ni mshenzi na hata ukimsamehe hawezi kuacha.Wee acha tu!! Inahuzunisha sana na
Duh! Pole,naona hisia za uchungu kwenye haya maandishi it's like nasikia sauti yako.Unajua nini kaka,, kwako ni kwako tu. Niliporudi the same day niliona mabadiliko hapo nyumbani ambayo yalinipita wasiwasi mkubwa! Yani kulikua na vitu tofauti na nilivyoviacha mimi pia katika kufanya usafi mara nikute cheni . Kuna vyombo vyangu vingine nilikua sivioni. Nguo yangu fulani hivi ( kikoi) pia sikuvikuta sasa kumuuliza hanyooshi maelezo dah..
Hafu huyo mwanamke mjinga anaacha hereni zake makusudi kabisaKuna baadhi yetu wanaume ni wapumbavu sana,unapelekaje malaya nyumbani?kabisa unakoishi na mke na watoto unaokota mwanamke unaenda kulala nae humo?na anadhihirisha upumbavu wake kwa kukiri kufanya hayo!
Ni pombe au kitu gani!!!
Huyo mwanaume hamtaki mke wake alikuwa anatafuta exit door tayari ameshaipata sasa uamuzi upo kwa mke wake.Hafu huyo mwanamke mjinga anaacha hereni zake makusudi kabisa
Hii nilikua najuaga ya demu kumbe brooKuna baadhi yetu wanaume ni wapumbavu sana,unapelekaje malaya nyumbani?kabisa unakoishi na mke na watoto unaokota mwanamke unaenda kulala nae humo?na anadhihirisha upumbavu wake kwa kukiri kufanya hayo!
Ni pombe au kitu gani!!!
Ushauri m bovu kumbuka hiyo mi mume wake wa ndoaNi kweli amekukosea sana lakini Kama unampenda na uko tayari kurudisha moyo nyuma,mpe nafasi nyingine!!!
Kama anatekeleza majukumu yake vizuri bila shida yoyote usimuache!!!
Kama ni fala fala tu,mwanaume suruali,siku 2 mnacheka siku 5 ni kilio piga chini huyo atakuja kukuua kwa stress!!!
Sure huyu dada awe makini maana mchepuko unaojiamini wadada wengi wapenda ndoa wako ready kuua kabisaHuyo mwanaume hamtaki mke wake alikuwa anatafuta exit door tayari ameshaipata sasa uamuzi upo kwa mke wake.