Unawezaje kumsamehe mwanaume aliyekusaliti kwa kumleta mwanamke mwingine nyumbani mnakoishi?

Unawezaje kumsamehe mwanaume aliyekusaliti kwa kumleta mwanamke mwingine nyumbani mnakoishi?

Unajua nini kaka,, kwako ni kwako tu. Niliporudi the same day niliona mabadiliko hapo nyumbani ambayo yalinipita wasiwasi mkubwa! Yani kulikua na vitu tofauti na nilivyoviacha mimi pia katika kufanya usafi mara nikute cheni . Kuna vyombo vyangu vingine nilikua sivioni. Nguo yangu fulani hivi ( kikoi) pia sikuvikuta sasa kumuuliza hanyooshi maelezo dah..
Dah!! Usharogwa,pole sana
 
Sawaa,

1. Huko nyuma alishawahi kucheat au ushawahi ona suspicious yeyote
2. If yes mli solve vp hio issue
3. If no nahiic atakuwa sio mzoefu wa kucheat so Bora umsamehe, kwann nasema hivyo.
a. Kumleta mtu Hadi home na kuharibu utaratbu wa pale nyumban bila kuurudisha ulivyokuwa inaonesha ye sio mzoefu wa mambo ya kucheat, LAKIN pia inawezekana ni mzoefu lakin sio mzoefu wa kuleta home.
4. Kama anamleta home na akijua kuna watoto au majiran wanaona simply kakuchoka na anataka ujue hiyo mienendo yake muachane.
5. La mwisho yamkini mmekwazana na ndomana anafany hayo yote uumie
Au dada ujuaji mwingi,kila kila kitu anataka kifanyike anavyotaka yeye,makosa kwa mwenzie akifanya yeye sio kosa,usista duu hadi chumbani,mbususu kwa mgao...
Mwanamme mfanyie ujinga wote ila sio hivyo nilivyovitaja na vingine wanaume tunavijua asee umejila.
 
Unajua nini kaka,, kwako ni kwako tu. Niliporudi the same day niliona mabadiliko hapo nyumbani ambayo yalinipita wasiwasi mkubwa! Yani kulikua na vitu tofauti na nilivyoviacha mimi pia katika kufanya usafi mara nikute cheni . Kuna vyombo vyangu vingine nilikua sivioni. Nguo yangu fulani hivi ( kikoi) pia sikuvikuta sasa kumuuliza hanyooshi maelezo dah..
Hapa umeshaingia vitani, labda hivyo vitu vyako akatumie kwa wema tu.
Ongea na mumeo, mpe madhara ya hivyo vitu vyako kupotea; inawezekana hiyo ndoa yako ikasambaratika
 
Habari za weekend wanajamvi!

Unawezaje kusamehe kirahisi mwanaume aliyecheat tena kwa kumleta mwanamke mwingine nyumbani mnakoishi!! ???!!!

Ni mumeo wa ndoa na mna watoto. Katika harakati za kutafuta pesa ulisafiri kwa muda fulani ndipo alipotumia mwanya huo kufanya aliyofanya.

Uliporudi ukakutana nahizo habari! Na badae mwenyewe kukiri kabisa kufanya kitendo hiko eti hatarudia tena! Inauma sana. Kama wewe utafanyeje hapo!!?? Binafsi sijui hata nifanye nini tangu atubu sijamjibu chochote nipo kimyaa ila naumia sanaaaa!
View attachment 2024934
Kosa alilofanya ni kukiri kosa,mpaka sasamngekuwa poa tu......mwanaume fanya ufanyavyo usikiri kosa utatengeneza ufa usiozibika
 
Wewe samehe sisi wanaume ndivyo tulivyo bana. Kama kaomba msamaha kwa kumaanisha wewe samehe tu
 
Pole Surbi. Ndoa zina mengi mama muombe sana akuwezeshe kusamehe ili upata amani ya moyo.
 
Unajua nini kaka,, kwako ni kwako tu. Niliporudi the same day niliona mabadiliko hapo nyumbani ambayo yalinipita wasiwasi mkubwa! Yani kulikua na vitu tofauti na nilivyoviacha mimi pia katika kufanya usafi mara nikute cheni . Kuna vyombo vyangu vingine nilikua sivioni. Nguo yangu fulani hivi ( kikoi) pia sikuvikuta sasa kumuuliza hanyooshi maelezo dah..
Duh! Pole,naona hisia za uchungu kwenye haya maandishi it's like nasikia sauti yako.
 
Kwanza huyo mwanaume hana adabu kabisa na hafai kuitwa mume. Kaleta mwanamke ndani ya nyumba unayoishi ni kiwango kikubwa cha chuki alizonazo juu yako. Na hiyo ni moja ya unyanyasi wa kijinsi. Miimi ni mwanaume kamwe katu siwezi kufanya ushetani wa aina hiyo. Unajua anakiwango kikubwa sana cha dharau juu yako. SIKUSHAURI UMESAMEHE. Hilo jambo ni gumu sana anakutafutia urogwe. Hivi inakuwaje mtu anaingiza mwanamke ndani ya chumba chenu inakuwaje. Achana na huyo zimwi. Hakupendi
 
Kuna baadhi yetu wanaume ni wapumbavu sana,unapelekaje malaya nyumbani?kabisa unakoishi na mke na watoto unaokota mwanamke unaenda kulala nae humo?na anadhihirisha upumbavu wake kwa kukiri kufanya hayo!

Ni pombe au kitu gani!!!
Hafu huyo mwanamke mjinga anaacha hereni zake makusudi kabisa
 
Kuna baadhi yetu wanaume ni wapumbavu sana,unapelekaje malaya nyumbani?kabisa unakoishi na mke na watoto unaokota mwanamke unaenda kulala nae humo?na anadhihirisha upumbavu wake kwa kukiri kufanya hayo!

Ni pombe au kitu gani!!!
Hii nilikua najuaga ya demu kumbe broo
 
Ni kweli amekukosea sana lakini Kama unampenda na uko tayari kurudisha moyo nyuma,mpe nafasi nyingine!!!

Kama anatekeleza majukumu yake vizuri bila shida yoyote usimuache!!!

Kama ni fala fala tu,mwanaume suruali,siku 2 mnacheka siku 5 ni kilio piga chini huyo atakuja kukuua kwa stress!!!
Ushauri m bovu kumbuka hiyo mi mume wake wa ndoa
 
Uwezekano wa kumsamehe au kutokumsamehe upo ndani ya moyo wako usitegemee Sana kushauriwa na mtu....

Angalia kilichopo within your heart na hayo ndio yatakua maamuzi sahihi kwako
 
Ila wanaume kuna muda tunafanya mautumbo tena ya kitimoto niseme sijuii, unaokotaje takataka unaipeleka nyumbani kwako? Kweli unakolala na mkeo? Alooh kuna mijitu ya hovyo sana yaani. Mwanaume mwenzangu heshimu familia yako, hao makorokocho unapeleka nyumbani kwako vp? Alaah
 
Msamehe japo itakuchukua muda Sana kurudisha Ile trust na upendo wa nyuma Ila tu nakushauri usimuamini binadam ukapitiliza akija kukutenda ndo Kama hvi unaumia kupita kiasi,msameh Ila mpende kwa akili zako timamu
 
Kama amekiri msamehe tu mwaya. Huko njiani kuna vidada viganga vya kienyeji. Kazi yao kuvuruga amani kwenye nyumba za watu kwa gia ya usidechick. Akifanikiwa kuvunja nyumba hiyo anahamia nyumba nyingine.

Nashindwaga kuelewa na sisi wanawake sometimes. Mtu anakwambia ameoa au unajua kabisa ameoa na wewe unajipeleka hata kama umepewa maneno matamu. Ndio maana wengine wanakalishwa chupa na kung'olewa nywele [emoji35]
 
Back
Top Bottom