Unawezaje kuvumilia miaka 2 bila sex kwa mke wako

Namaliza mwaka na miezi kadhaa bila sex kutoka kwa mke wangu, ujauzito ulipokaribia miezi 5 aliomba tuache kusex na akajifungua, Sasa mwaka umeisha tangu tuacha kusex

Mtoto ana mwaka na miezi kadhaa lakini wife anadai hatuwezi kusex kwa sababu atapata ujauzito mwingine nikamuuliza unaona tuanze kuanzia lini akasema bora mtoto afikishe miaka miwili
Nilipomwambia atumie uzazi wa mpango akadai unaharibu mwili na kusababisha magonjwa

Nilipomwambia tutumie kondomu anadai ana allergies na kondom na hawezi kutumia..
Najiuliza hivi nyie mlio katika ndoa hili swala huwa mnalifanyaje au mnasubiri miaka miwili kweli au mnatumia njia gani ?

Muda mwingine nawaza kuwa na mchepuko lakini naona ni dhambi kumsaliti wife

Ushauri wenu tafadhali

Akili kichwani utaamua lkn hata alipokuwa mimba ungesex bila madhara tangu miezi 2-3 kimsingi unasaidiwa tangu muda huo
 
Namaliza mwaka na miezi kadhaa bila sex kutoka kwa mke wangu, ujauzito ulipokaribia miezi 5 aliomba tuache kusex na akajifungua, Sasa mwaka umeisha tangu tuacha kusex

Mtoto ana mwaka na miezi kadhaa lakini wife anadai hatuwezi kusex kwa sababu atapata ujauzito mwingine nikamuuliza unaona tuanze kuanzia lini akasema bora mtoto afikishe miaka miwili
Nilipomwambia atumie uzazi wa mpango akadai unaharibu mwili na kusababisha magonjwa

Nilipomwambia tutumie kondomu anadai ana allergies na kondom na hawezi kutumia..
Najiuliza hivi nyie mlio katika ndoa hili swala huwa mnalifanyaje au mnasubiri miaka miwili kweli au mnatumia njia gani ?

Muda mwingine nawaza kuwa na mchepuko lakini naona ni dhambi kumsaliti wife

Ushauri wenu tafadhali
Mungu akupe hekima.
 
We unaogopa kumsaliti . mkeo anakusaliti miaka miwili bila sex tena kwa mkeo! Utakuwa na matarajio ya kuishi miaka mingi sana hapo duniani
 
Nilipomwambia tutumie kondomu anadai ana allergies na kondom na hawezi kutumia..
Kwa hiyo mkuu umekuja kututhibitishia kwamba ulioa kahaba? Hizo ndom anazitumia wapi mpaka anakuwa na allergy nazo? Hivi unawezaje kuwa na allergy na kitu ambacho hujawahi kukitumia? Mengine mwe mnabaki nayo majumbani kwenu siyo kila kitu ni for public consumption!
 
Namaliza mwaka na miezi kadhaa bila sex kutoka kwa mke wangu, ujauzito ulipokaribia miezi 5 aliomba tuache kusex na akajifungua, Sasa mwaka umeisha tangu tuacha kusex

Mtoto ana mwaka na miezi kadhaa lakini wife anadai hatuwezi kusex kwa sababu atapata ujauzito mwingine nikamuuliza unaona tuanze kuanzia lini akasema bora mtoto afikishe miaka miwili
Nilipomwambia atumie uzazi wa mpango akadai unaharibu mwili na kusababisha magonjwa

Nilipomwambia tutumie kondomu anadai ana allergies na kondom na hawezi kutumia..
Najiuliza hivi nyie mlio katika ndoa hili swala huwa mnalifanyaje au mnasubiri miaka miwili kweli au mnatumia njia gani ?

Muda mwingine nawaza kuwa na mchepuko lakini naona ni dhambi kumsaliti wife

Ushauri wenu tafadhali
Mkeo amekidhi sifa na vigezo vya kuwa Bi Mkubwa.

Unangoja nini kumtunuku cheo chake kinachomstahili?
 
Kwani wewe huwezi kudhibiti mkeo asipate ujauzito bila yeye kutumia vidonge au sindano?. Masuali mengine allitakiwa aulize kijana wa miaka 18 sio wewe mwenye mke. Tatizo mnakimbilia ndoa huku akili zenu zikiwa bado hazikpevuka. Lamomy njoo umshauri mpwa wako huku maana nae anaonekana nikijana wa kanisani au msikitini maadili kama yote.
😂😂
 
Namaliza mwaka na miezi kadhaa bila sex kutoka kwa mke wangu, ujauzito ulipokaribia miezi 5 aliomba tuache kusex na akajifungua, Sasa mwaka umeisha tangu tuacha kusex

Mtoto ana mwaka na miezi kadhaa lakini wife anadai hatuwezi kusex kwa sababu atapata ujauzito mwingine nikamuuliza unaona tuanze kuanzia lini akasema bora mtoto afikishe miaka miwili
Nilipomwambia atumie uzazi wa mpango akadai unaharibu mwili na kusababisha magonjwa

Nilipomwambia tutumie kondomu anadai ana allergies na kondom na hawezi kutumia..
Najiuliza hivi nyie mlio katika ndoa hili swala huwa mnalifanyaje au mnasubiri miaka miwili kweli au mnatumia njia gani ?

Muda mwingine nawaza kuwa na mchepuko lakini naona ni dhambi kumsaliti wife

Ushauri wenu tafadhali
🤣 🤣 🤣
 
Kwa hiyo mkuu umekuja kututhibitishia kwamba ulioa kahaba? Hizo ndom anazitumia wapi mpaka anakuwa na allergy nazo? Hivi unawezaje kuwa na allergy na kitu ambacho hujawahi kukitumia? Mengine mwe mnabaki nayo majumbani kwenu siyo kila kitu ni for public consumption!
🤣 🤣 🤣
 
Namaliza mwaka na miezi kadhaa bila sex kutoka kwa mke wangu, ujauzito ulipokaribia miezi 5 aliomba tuache kusex na akajifungua, Sasa mwaka umeisha tangu tuacha kusex

Mtoto ana mwaka na miezi kadhaa lakini wife anadai hatuwezi kusex kwa sababu atapata ujauzito mwingine nikamuuliza unaona tuanze kuanzia lini akasema bora mtoto afikishe miaka miwili
Nilipomwambia atumie uzazi wa mpango akadai unaharibu mwili na kusababisha magonjwa

Nilipomwambia tutumie kondomu anadai ana allergies na kondom na hawezi kutumia..
Najiuliza hivi nyie mlio katika ndoa hili swala huwa mnalifanyaje au mnasubiri miaka miwili kweli au mnatumia njia gani ?

Muda mwingine nawaza kuwa na mchepuko lakini naona ni dhambi kumsaliti wife

Ushauri wenu tafadhali
Kwako mwalimu kashasha,

Mwalimu kashasha: hapo unatakiwa kupiga curve maana mabeki wana kabia chini
 
Back
Top Bottom