GE2025 Unayejaribu kutoa fomu mbili jitazame hatutanii siye

GE2025 Unayejaribu kutoa fomu mbili jitazame hatutanii siye

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Nashangaa Wana chadema wanalalamika juu ya form moja utazani CCM chama chao
Alafu hpo hpo wanataka tundu lisu tuh ndio awe mgombea was chadema ilo sie hatulijadil 😃
Fomu ni Moja. Twaenda kuchukua. Taarifa tuliyoipata kuna mjusikenge wajitia umajinuni kutaka kutoa fomu nyingi. Jishaue, jishengendue, siye hatutanii. Shauri Yako. Na bado
 
Taifa haliongozwi Kwa mipasho so mkitaka anguko watu waruhusiwe kichukua fomu ya kugombea urais wazunguke bara na visiwani kutafuta wadhamini
 
Back
Top Bottom