October 2pm
JF-Expert Member
- May 2, 2023
- 1,148
- 2,032
Fomu ni Moja. Twaenda kuchukua. Taarifa tuliyoipata kuna mjusikenge wajitia umajinuni kutaka kutoa fomu nyingi. Jishaue, jishengendue, siye hatutanii. Shauri Yako. Na bado
Hope ni mwanamke wa Kizanzibari ameandika hazo soga hadi nimecheka ,CCM oyeeeeeehFomu ni Moja. Twaenda kuchukua. Taarifa tuliyoipata kuna mjusikenge wajitia umajinuni kutaka kutoa fomu nyingi. Jishaue, jishengendue, siye hatutanii. Shauri Yako. Na bado
Unamtisha nani huku mitandaoni? Fomu zinatoka tatu mchujo ni lazma sio ombiFomu ni Moja. Twaenda kuchukua. Taarifa tuliyoipata kuna mjusikenge wajitia umajinuni kutaka kutoa fomu nyingi. Jishaue, jishengendue, siye hatutanii. Shauri Yako. Na bado
Mipasho😂😂😂😂Fomu ni Moja. Twaenda kuchukua. Taarifa tuliyoipata kuna mjusikenge wajitia umajinuni kutaka kutoa fomu nyingi. Jishaue, jishengendue, siye hatutanii. Shauri Yako. Na bado
Kiazi kama huyu unataka umwelewe wa kazi gani bwashee?sijaelewa
Kwani umeambiwa unataniana na nani?Hapa ngadu kwa ngadu hadi kieleweke!Fomu ni Moja. Twaenda kuchukua. Taarifa tuliyoipata kuna mjusikenge wajitia umajinuni kutaka kutoa fomu nyingi. Jishaue, jishengendue, siye hatutanii. Shauri Yako. Na bado
Wewe Dada,pambana kurudisha MARINDA....acha shombo 😄😄Fomu ni Moja. Twaenda kuchukua. Taarifa tuliyoipata kuna mjusikenge wajitia umajinuni kutaka kutoa fomu nyingi. Jishaue, jishengendue, siye hatutanii. Shauri Yako. Na bado
Kwa hiyo fomu zikiwa nyingi mama akubaliki anaweza kushindwa kupita dhidi ya wapinzani wake pamoja na mabango yote na kelele zote bado kwamba amefanya mambo makubwa mnaogopa wengine wasichukue fomu Kwa kuogopa wapinzani wake ndani ya chama kwa hiyo mlikua mnaogopea watu kwamba mama amefanya makubwa anakubalika ndani na nje ya nchi. Kumbe mlikua mnajidanganya wenyewe. Hapo ndo nakubaliana na wale wabaguzi wa rangi kwamba waafrika sio binadamu kamili tuko kwenye hatua za kua binadamu kamili 😂😂😂Fomu ni Moja. Twaenda kuchukua. Taarifa tuliyoipata kuna mjusikenge wajitia umajinuni kutaka kutoa fomu nyingi. Jishaue, jishengendue, siye hatutanii. Shauri Yako. Na bado
Acha wenge weweFomu ni Moja. Twaenda kuchukua. Taarifa tuliyoipata kuna mjusikenge wajitia umajinuni kutaka kutoa fomu nyingi. Jishaue, jishengendue, siye hatutanii. Shauri Yako. Na bado
Utamteka eeh??Fomu ni Moja. Twaenda kuchukua. Taarifa tuliyoipata kuna mjusikenge wajitia umajinuni kutaka kutoa fomu nyingi. Jishaue, jishengendue, siye hatutanii. Shauri Yako. Na bado
We ndugu yangu hupo na ujinga mwingi, tz sio mali ya mtu unajua ,Fomu ni Moja. Twaenda kuchukua. Taarifa tuliyoipata kuna mjusikenge wajitia umajinuni kutaka kutoa fomu nyingi. Jishaue, jishengendue, siye hatutanii. Shauri Yako. Na bado
Ni dume mwenye jinsia ya kiume ila ajabu ukike na ushoga uko active sana.Mtoa mada jinsia yako tafadhali
Mental case.Fomu ni Moja. Twaenda kuchukua. Taarifa tuliyoipata kuna mjusikenge wajitia umajinuni kutaka kutoa fomu nyingi. Jishaue, jishengendue, siye hatutanii. Shauri Yako. Na bado