October 2pm
JF-Expert Member
- May 2, 2023
- 1,148
- 2,032
- Thread starter
- #41
Mipasho😂😂😂😂
Na bado
Mipasho😂😂😂😂
Hahaha patamu hapo. Fomu iwe moja kwa kweliFomu ni Moja. Twaenda kuchukua. Taarifa tuliyoipata kuna mjusikenge wajitia umajinuni kutaka kutoa fomu nyingi. Jishaue, jishengendue, siye hatutanii. Shauri Yako. Na bado
Mnaenda kuchukua Fomu wapi tume au chamani ?.
Hahaha patamu hapo. Fomu iwe moja kwa kweli
Uzushi huu duuuhFomu ni Moja. Twaenda kuchukua. Taarifa tuliyoipata kuna mjusikenge wajitia umajinuni kutaka kutoa fomu nyingi. Jishaue, jishengendue, siye hatutanii. Shauri Yako. Na bado
Uzushi huu duuuh
Mtoa mada jinsia yako tafadhali
Thubutu yakeHii ndio ile mambo ya bora tukose wote.
Hahaha 😂 usiwe na wasiwasi, utamadunj wetu mwenyekiti ndiye amri jeshi wa vyombo vyote vya hlinzi na usalama! Kula bataKuna vidudu mtu vyataka bua la mhindi. Tutawapa kuti la mnazi
Kumekucha kumekucha
Hahaha 😂 usiwe na wasiwasi, utamadunj wetu mwenyekiti ndiye amri jeshi wa vyombo vyote vya hlinzi na usalama! Kula bata
Hahaha 😂 usiwe na wasiwasi, utamadunj wetu mwenyekiti ndiye amri jeshi wa vyombo vyote vya hlinzi na usalama! Kula bata
Kwani umeambiwa unataniana na nani?Hapa ngadu kwa ngadu hadi kieleweke!
Wewe Dada,pambana kurudisha MARINDA....acha shombo 😄😄
Aliyeandika si mwenzetu tena kashaleft group
Raia achukue fomu nawe uchukue hizo ni dharauKwa hiyo fomu zikiwa nyingi mama akubaliki anaweza kushindwa kupita dhidi ya wapinzani wake pamoja na mabango yote na kelele zote bado kwamba amefanya mambo makubwa mnaogopa wengine wasichukue fomu Kwa kuogopa wapinzani wake ndani ya chama kwa hiyo mlikua mnaogopea watu kwamba mama amefanya makubwa anakubalika ndani na nje ya nchi. Kumbe mlikua mnajidanganya wenyewe. Hapo ndo nakubaliana na wale wabaguzi wa rangi kwamba waafrika sio binadamu kamili tuko kwenye hatua za kua binadamu kamili 😂😂😂
Acha wenge wewe
Hakuna mwenye hatimiliki na hii nchiNa bado
Siye tutamgeuzageuza na tutamla kama changu. Asilete masihara kujitia kutoa form 2.Fomu ni Moja. Twaenda kuchukua. Taarifa tuliyoipata kuna mjusikenge wajitia umajinuni kutaka kutoa fomu nyingi. Jishaue, jishengendue, siye hatutanii. Shauri Yako. Na bado