4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,613
- 13,543
Asiee nimecheka kijinga sanaMipasho😂😂😂😂
Asiee nimecheka kijinga sanaMipasho😂😂😂😂
Huyo Mtu wako unayetaka kumpatia fomu moja tu hana kabisa mvuto wa kisiasaFomu ni Moja. Twaenda kuchukua. Taarifa tuliyoipata kuna mjusikenge wajitia umajinuni kutaka kutoa fomu nyingi. Jishaue, jishengendue, siye hatutanii. Shauri Yako. Na bado
Kweli 'kumenoga'Fomu ni Moja. Twaenda kuchukua. Taarifa tuliyoipata kuna mjusikenge wajitia umajinuni kutaka kutoa fomu nyingi. Jishaue, jishengendue, siye hatutanii. Shauri Yako. Na bado
😂😂😂😂Mbona kama mwandiko wa mauzinde huu?
Mtaelewa tu mbonaFomu ni Moja. Twaenda kuchukua. Taarifa tuliyoipata kuna mjusikenge wajitia umajinuni kutaka kutoa fomu nyingi. Jishaue, jishengendue, siye hatutanii. Shauri Yako. Na bado
Wazanzibar kwani mna niniFomu ni Moja. Twaenda kuchukua. Taarifa tuliyoipata kuna mjusikenge wajitia umajinuni kutaka kutoa fomu nyingi. Jishaue, jishengendue, siye hatutanii. Shauri Yako. Na bado
Wazanzibar kwani mna nini
Hii tone ...ni ya wala urojo 🤣🤣
Mtaelewa tu mbona
Kweli 'kumenoga'
kwa nini mods huwa wanaruhusu nyuzi kama izi ila zingine wanatoa?
kilichobaki kwa hawa watu ni vitisho peke yake, kwa nini hamtaki wanadamu waishi na kufanya mambo kwa uhuru kama kweli mnakubalika
Huyo Mtu wako unayetaka kumpatia fomu moja tu hana kabisa mvuto wa kisiasa
Hakuna anayewakubali, mnaforce kukubalikaTwakubalika ndio maana gurudumu twasukuma
sijaelewa
Hakuna anayewakubali, mnaforce kukubalika
Hope ni mwanamke wa Kizanzibari ameandika hazo soga hadi nimecheka ,CCM oyeeeeeeh
USSR
Thubutu yake! Labda sio MimiUnamtisha nani huku mitandaoni? Fomu zinatoka tatu mchujo ni lazma sio ombi