GE2025 Unayejaribu kutoa fomu mbili jitazame hatutanii siye

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Wanaotisha machawa wa wanaotaka tuwachague, wanaotishwa ni wanaochagua. Akili macho kumchuzi
 
Taarab za mama.

Fomu ya mama.

Tume ya mama.

Chama cha kwenye mkoba wa mama.
 
Fomu ni Moja. Twaenda kuchukua. Taarifa tuliyoipata kuna mjusikenge wajitia umajinuni kutaka kutoa fomu nyingi. Jishaue, jishengendue, siye hatutanii. Shauri Yako. Na bado
Hu muandiko nashindwa kuelewa kama ni wa mwanaume au mwanamke, naomba kufahamishwa.
 
Sasa zile pokipiki na baiskel itakuwaje?
Jaman, watu wawe na huruma aysee
 
Fomu ni Moja. Twaenda kuchukua. Taarifa tuliyoipata kuna mjusikenge wajitia umajinuni kutaka kutoa fomu nyingi. Jishaue, jishengendue, siye hatutanii. Shauri Yako. Na bado
Unamtisha nani maku wewe
 
Samahani wewe ni mwanaume au mwanamke? Au zote?
 
Fomu ni Moja. Twaenda kuchukua. Taarifa tuliyoipata kuna mjusikenge wajitia umajinuni kutaka kutoa fomu nyingi. Jishaue, jishengendue, siye hatutanii. Shauri Yako. Na bado
Unasuta au unatishia?
 
Back
Top Bottom