October 2pm
JF-Expert Member
- May 2, 2023
- 1,148
- 2,032
- Thread starter
- #61
Hakuna mwenye hatimiliki na hii nchi
Na Bado
Hakuna mwenye hatimiliki na hii nchi
Siye tutamgeuzageuza na tutamla kama changu. Asilete masihara kujitia kutoa form 2.
Anguko ni kuu
Fomu moja kwa ajili ya Mzanzibar na fomu nyingi ni kwa ajili ya watanganyika sasa kila mtu atajijua mwenyewe akitaka aludi akagombee kwaoFomu ni Moja. Twaenda kuchukua. Taarifa tuliyoipata kuna mjusikenge wajitia umajinuni kutaka kutoa fomu nyingi. Jishaue, jishengendue, siye hatutanii. Shauri Yako. Na bado
Mbona bado2027 sio mbali tunarudi hapa
Hahaha! Helloo mtaimba visivyoimbwaFomu moja kwa ajili ya Mzanzibar na fomu nyingi ni kwa ajili ya watanganyika sasa kila mtu atajijua mwenyewe akitaka aludi akagombee kwao
Hata mimi.sijaelewa
Aisee kumbe na wazenji wanajua jambo hili nilijua ni bk tuKaa kwa kutulia. Kuna mtu tumpige katerero
Naona jamaa mpo tayari kupigana chepe ili tu muwe madarakani, sisi tunawaangalia tu!!
Kwani si mbogamboga wenzenu mnaogopana tena?
Wasiojulikana wanajuaRinda lako lipo cubic ngapi tangu litatuliwe
a unatafuta pampasi, FISTULA,plus kufumuliwa MARINDA 😀🤣🤣 full stress 😀😀Rinda lako lipo cubic ngapi tangu litatuliwe
Na kiswahili chako cha uchumi wa buluu....weye waogopaNani aogopa
Mkimaliza kuwapeleka na nyie mnapelekwa, huwajui mbogamboga wewe...Shetani kwake kuzimu. Na tutawapeleka sana