Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 2,886
- 9,088
Wewe ni wakala wa shetani,mlitajwa hata kwenye maandiko matakatifu. Vijakazi wa yule mwovu katika kumrasishia kuvuna watu zaidi kupitia zinaa na uzinzi + uasherati. Zama hizi za mwisho.
Wakati Mwenyezi Mungu akituamuru tusizini,nyie mko busy kuwahamasisha watu wazini,na kujiepusha na ndoa.. Kama ilikua mbaya kwako ina maana kwa wote itakuwa mbaya? Kama ulikosea kuoa asie sahihi hakutakua kabisa na mwenza sahihi?
Oohh kataa ndoa,ndoa ni utumwa
Ndoa utapeli..
Endeleeni kumsaidia baba yenu ibilisi kuvuna watu!
Na ujira wenu mtaupata!