Unayeshiriki kupinga ndoa, wewe ni wakala wa shetani

Unayeshiriki kupinga ndoa, wewe ni wakala wa shetani

Acha kututisha hata Yesu mwenyewe alisema useja ni zawadi.
Useja usiojihusisha na ngono..
Lakini nyie mnaweza kutooa na kujizuia kufanya ngono?
Mahanith nyie?
Vijana wa kizazi hiki nnaowajua mie[emoji16][emoji16]
 
Wakiwazuia watu wasioe

Ndugu mada hakuna anayemzuia mtu asioe.l, kinachofanyika ni kuwashauri wasioe.

Neno kuzuia ukiangangalia kwenye kamusi ya TUKI Ina maana ya matumizi ya nguvu ktk kulifanya Jambo fulani lisifanyike ama kutokea".
Wote wanatenda moja la kufanana japo kuna utofauti.huyu anatumia nguvu huyu anamalizia kwa ushauri tena akisisitiza sana.
Wote wanachangia
 
Mbona mtaani watu wanaoana tu....

Ni umri tu. Kila moja atafanya linalo mpendeza
Ni kweli kila week kuna ndoa lakini wanachofanya na kuandika mitandaoni kinaenda kinyume na agizo la muumba..
Wajitahidi kuwa mfano mwema!
 
1665496605970.jpg
 
Nioe Nigundue nini kwa mfano ?

Wanaooa ni wale wanao endeshwa na nyege

Mimi nakataa Utumwa, sina pesa ya mchezo ya kununua binaadamu na kuanza kumhudumia

Huo ujinga sitakaa nifanye
Huna hela..hiyo ndo sababu
Endelea kupiga puli
 
La muhimu,usimuamini kila anayekueleza ukatae ndoa.JF tupo kwa utambulisho batili/the very fake ids.Anayekuambia ukatae ndoa usinuamini kwa urahisi.Anaweza kuwa anamtamani mkeo ili umuache ambebe.😜😜😜😜
 
Back
Top Bottom