SankaraBoukaka
JF-Expert Member
- Jul 2, 2019
- 1,213
- 1,918
Mbona Yesu mwenyewe hakuoa, kwanini mimi nioe???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naunga mkono hojaAsiyetaka kuoa afanye hima aolewe.Nipo paleee navuta goso yangu.
Nimeona niwaudhi tu ili waache mambo yao ya hovyo.Naunga mkono hoja
KATAA NDOAMwisho wa siku mtaoa tu[emoji16]
Akubali nini mkuu?Bila ndoa na tendo lenyewe kwa akili zetu tungekuwa "datives"!KATAA NDOA
Naikubali ndoaKATAA NDOA
Si lazima kufunga ndoaNaikubali ndoa
Master msalimie rehma[emoji4]Naunga mkono hoja
Hakuwa kama sisi.japo alikua na miili mfano wetu kwa hapa dunianiMbona Yesu mwenyewe hakuoa, kwanini mimi nioe???
Watoto uhitaji kabisa au utawapata kwenye nyeto?Kama nakojoa kwa Nyeto kwanini nioe ?
Maziwa yamejaa tele sokoni, yanini kufuga ng'ombe ?
hao baadayeWatoto uhitaji kabisa au utawapata kwenye nyeto?
Hiyo baadae utaoa tuhao baadaye
ili iweje ?Hiyo baadae utaoa tu
Si unahitaji watoto au utazalisha tu hovyo hovyoili iweje ?
Mondi ana watoto kijiji, hajaoaSi unahitaji watoto au utazalisha tu hovyo hovyo
sawa mkuu kataa ndoaMondi ana watoto kijiji, hajaoa
CR7 ana watoto kijiji hajaoa
Kwako wewe binafsiSi lazima kufunga ndoa
Hakuna mahali panasema ni lazima kufunga ndoa hata vitabu vitakatifu havijasem ndoa ni lazimaKwako wewe binafsi