Unayeshiriki kupinga ndoa, wewe ni wakala wa shetani

Wewe ni wakala wa shetani,mlitajwa hata kwenye maandiko matakatifu
Vijakazi wa yule mwovu katika kumrasishia kuvuna watu zaidi kupitia zinaa na uzinzi + uasherati. Zama hizi za mwisho.

Wakati Mwenyezi Mungu akituamuru tusizini,nyie mko busy kuwahamasisha watu wazini,na kujiepusha na ndoa.
Kama ilikua mbaya kwako ina maana kwa wote itakuwa mbaya?
Kama ulikosea kuoa asie sahihi hakutakua kabisa na mwenza sahihi?

Oohh kataa ndoa,ndoa ni utumwa
Ndoa utapeli..
Endeleeni kumsaidia baba yenu ibilisi kuvuna watu!
Na ujira wenu mtaupata!

View attachment 2511243View attachment 2511244
Mpenzi Abigail Nabal wewe umeolewa au naweza kukustiri unipe katoto kakiume?
 
Asiyetaka kuoa afanye hima aolewe.Nipo paleee navuta goso yangu.

😅😅😅😅😅mawakala wa shetani humu ni wengi sana

Shetani yuko kazini,

[emoji38][emoji38][emoji38] wanakuja

Mwisho wa siku mtaoa tu[emoji16]

Yaani,Hawajijui hata hiko ni cheo chao
Wamejaa tele

Useja usiojihusisha na ngono..
Lakini nyie mnaweza kutooa na kujizuia kufanya ngono?
Mahanith nyie?
Vijana wa kizazi hiki nnaowajua mie[emoji16][emoji16]

Wote wanatenda moja la kufanana japo kuna utofauti.huyu anatumia nguvu huyu anamalizia kwa ushauri tena akisisitiza sana.
Wote wanachangia

Watu hawataki kuoa,wakiambiwa waolewe wanapanick.

Huna hela..hiyo ndo sababu
Endelea kupiga puli

Nimetoka kuleeee kuja humu kuwaambia kuwa.......

Nimewakusanya wotee ili niwaambie "Nyie tukaneni, kebehini, ropokeni" yaani andikeni lolote ila HATUOI HATUOI HATUOI.

Anyway:- Karibu gheto tusikilize song la zuena la mkali mwenzetu MOND A.K.A mkataa ndoa A.K.A baba Tiffah.

Nasubiri matusi yoteee
Nasubiri kejeli zotee
.... Ila YATAPITAAAAAAAA

Nakala:-
dronedrake
Mafian cartel

Waione kwenye jalada.

#YNWA
 
😅😅😅😅😅😅
 
Wahuni ninyi!
 
Wewe ni wakala wa shetani,mlitajwa hata kwenye maandiko matakatifu
Vijakazi wa yule mwovu katika kumrasishia kuvuna watu zaidi kupitia zinaa na uzinzi + uasherati. Zama hizi za mwisho.

Wakati Mwenyezi Mungu akituamuru tusizini,nyie mko busy kuwahamasisha watu wazini,na kujiepusha na ndoa.
Kama ilikua mbaya kwako ina maana kwa wote itakuwa mbaya?
Kama ulikosea kuoa asie sahihi hakutakua kabisa na mwenza sahihi?

Oohh kataa ndoa,ndoa ni utumwa
Ndoa utapeli..
Endeleeni kumsaidia baba yenu ibilisi kuvuna watu!
Na ujira wenu mtaupata!

View attachment 2511243View attachment 2511244
Mimi role model wangu ni yesu ....kataa ndoa [emoji4]
 
NDOA hizi za kisasa za kinyonyaji lazima zipingwe Hadi mamlaka zirekebishe SHERIA ya 50/50!

Lazima zipingwe kama mamlaka zinaunga mkono feminism yaani usawa wa kijinsia WAKATI hakuna usawa katika uwajibikaji!!!

Kupingwa kwa NDOA za kishetani za kisasa sio dhambi,NDOA inayomuweka mwanamke na mwanamme kuwa sawa kimaamuzi ndani ya NYUMBA ni NDOA za lilith hazifai kwa ustawi wa jamii!!

NDOA zinazodogosha mamlaka ya kiume ndani ya NYUMBA na kumfanya mwanamme mtumwa wa kumfurahisha mwanamke wakati mwanamke ana back up ya Serikali ni ujinga wa Hali ya juu!!

Nyie wanawake RUDINI BEIJING MKAFUTE ULE MKATABA WA SHETANI WA HAKI SAWA WA KIJINSIA NA KURUDISHA YALE MAMLAKA YA KIUME YALIYODUMISHA NDOA ZAMANI!!

HAMUWEZI KULILIA HAKI SAWA YA KIJINSIA WAKATI HAKUNA USAWA KIMAJUKUMU KWENYE NDOA!

RUDINI BEIJING MRUDISHE HADHI YA MWANAMME NA SISI TUTAWAOA!!
 
Anayekataa ndoa naye atapata binti ambaye itakuwa anatumika na kuachwa no ndoa.Vyovyote unavyofanya katika hii dunia wema utakurudia na ubaya pia .Mungu tuepushe vizazi vyetu na wanaume wa hivi awapeperushe kama upepo.
 
Wewe ni wakala wa shetani,mlitajwa hata kwenye maandiko matakatifu
Vijakazi wa yule mwovu katika kumrasishia kuvuna watu zaidi kupitia zinaa na uzinzi + uasherati. Zama hizi za mwisho.

Wakati Mwenyezi Mungu akituamuru tusizini,nyie mko busy kuwahamasisha watu wazini,na kujiepusha na ndoa.
Kama ilikua mbaya kwako ina maana kwa wote itakuwa mbaya?
Kama ulikosea kuoa asie sahihi hakutakua kabisa na mwenza sahihi?

Oohh kataa ndoa,ndoa ni utumwa
Ndoa utapeli..
Endeleeni kumsaidia baba yenu ibilisi kuvuna watu!
Na ujira wenu mtaupata!

View attachment 2511243View attachment 2511244
Mungu amekuambia wapi uoe katika biblia nipe fungu
 
Mh najiuliza tu kwamba ita kuaje siku unafika mbinguni

Unakuja kugundua kwamba uliye mwamini na kumwabudu nakufuata maandiko yake ndiye ibilisi

Na uliye mkataa na kumwita pepo
Ndiye mungu sjui it's kuaje??
 
Tuachieni dada zenu tutafaidi sana nyie endeleeni hivyo hivyo.
 
Kataa ndoa , kataa dini vyote hivi ni utapeli tu shetani ni nani huyo?
 
Back
Top Bottom