Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 2,886
- 9,088
Shetani yuko kazini,Kataa Ndoa
Ndoa Ni Utapeli
Ndoa Ni Wizi
Kataa Ndoa
HAKUNA KUOA
wadada wakiona hii wanakemea sana. Yaani wanaogopa mno. 😂😂😂🙌Kataa Ndoa
Ndoa Ni Utapeli
Ndoa Ni Wizi
Kataa Ndoa
HAKUNA KUOA
[emoji38][emoji38][emoji38] wanakujaAsiyetaka kuoa afanye hima aolewe.Nipo paleee navuta goso yangu.
Mwisho wa siku mtaoa tu[emoji16]Kataa Ndoa
Ndoa Ni Utapeli
Ndoa Ni Wizi
Kataa Ndoa
HAKUNA KUOA
Sasa hizi za siku hizi na nyie ndiyo mnaziita ndoa? Kuna ndoa siku hizi?Wewe ni wakala wa shetani,mlitajwa hata kwenye maandiko matakatifu
Vijakazi wa yule mwovu katika kumrasishia kuvuna watu zaidi kupitia zinaa na uzinzi + uasherati. Zama hizi za mwisho.
Wakati Mwenyezi Mungu akituamuru tusizini,nyie mko busy kuwahamasisha watu wazini,na kujiepusha na ndoa.
Kama ilikua mbaya kwako ina maana kwa wote itakuwa mbaya?
Kama ulikosea kuoa asie sahihi hakutakua kabisa na mwenza sahihi?
Oohh kataa ndoa,ndoa ni utumwa
Ndoa utapeli..
Endeleeni kumsaidia baba yenu ibilisi kuvuna watu!
Na ujira wenu mtaupata!
View attachment 2511243View attachment 2511244
Yaani,Hawajijui hata hiko ni cheo chao[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]mawakala wa shetani humu ni wengi sana
Kama nakojoa kwa Nyeto kwanini nioe ?Mwisho wa siku mtaoa tu[emoji16]